Ombi la kwanza watu muliopo mkoani MWANZA naomba nyimbo za FOUR STARS BAND maana nazitafuta mtandaoni sizipati,nimetanguliza watu wa mwanza maana hiyo band maskani yake ni uko,
ila kama kuna mtu popote anazo nyimbo za hao jamaa naomba anisaidie.
Ombi la pili kuna wimbo wa REGE sijuwi jina la muimbaji wala la wimbo,
uimbaji wake kama ALPHA BLONDY kiitikio chake ameimba tu;
ooh ooh ooOOOH,
oooh oooooh,
Wimbo wa zamani sana kama kuna mtu anajua jina la muimbaji au la wimbo aniambie, na kama kuna mtu anakumbuka icho kiitikio hapo na anao anisaidie kuweka hapa.