Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

Ningekua nasukumwa na Imani ningewatetea waisraeli maana Mimi ni mkatoliki. Ila wewe "blood of Jesus " hapana shaka unasukumwa na Jesus"

ulisema pale juu khs Israeli kupatwa na aibu. Aibu gani. Ukasema kuwa vinu vya
Isingesitishwa taifa teule walikua wanavyunjwa viuno
anga limetekwa, ndege zinajipigia zitakavyo, vinu vishabomolewa,

for humanitarian reasons wakaona wasitishe vita. Vita siku zote sio nzuri (kwa pande zote) ila kusema kwamba Israeli alimuogopa ama alimshindwa Iran ni kujidanganya.
 
Uanze kurusha ngumi mwenyewe halafu nikubandue then ukimbie kwa kaka zako kuomba ngumi ziishe 😅😅😅 watu sio wajinga wewe.
 
Na pamoja na marekani kuingilia na yeye base zake kule Qatar na Bahrain zikashambuliwa na akakubali yaishe. Ila sasa Kuna jamaa zangu hapa huwaambii kitu kuhusu US na Israel 🤣🤣
Hata mimi huwa siwaelewi kusema kweli, nikisema mapenzi yao kuhusu USA na Israel si bure labda waliwahi kuywa maji ya bendera ya mataifa hayo mawili!!!
 
Uanze kurusha ngumi mwenyewe halafu nikubandue then ukimbie kwa kaka zako kuomba ngumi ziishe 😅😅😅 watu sio wajinga wewe.
mission ilikuwa ni vile vinu, baada ya kupigwa, kazi ikawa imeisha. ni wapi hamuelewi ninyi watu
 
Hivi una akili nzuri kweli mkuu?
 
Kwamba Israel akipiga yeye ana hit maeneo ambayo sio ya raia,ila Irani ndio haipogi maeneo ya kijeshi bali raia tu.basi sawa.
 
Aaah! Sasa mbona na sisi tulikuwa tunaona jinsi ya missiles za Iran zilivyo kuwa zinakatisha anga la Israel na kwenda kupiga mission critical Israel infrastructure za Israel including military bases, Industrial Complexes and even American/Israel
Military reseach centre laboratories kwani wewe hilo hulijui au hukuona picha au video clips kabla hazijazuiwa kuonekana kwenye mitandao??

Sasa swali, je, na sisi tuseme anga lote la Israel lilikuwa limetekwa na Iran ndiyo maana missiles za Iran zilikuwa zinapiga popote watakako bila kizuizi!!

Bottom line is: Wakati mwingine tujifunze kubakiza akiba ya maneno - Dunia nzima ilishuhudia jinsi Israel ilivyo pata kipigo cha mbwa mwizi, bila ya Trump kuingilia kati, sijui Israel ingekuwa mgeni wa nani??

Badala ya wao kupigana vita kama wanaume wanakwenda kukimbilia kwenye makazi ya maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Iran usiku wa manane na kuanza kuuwa familia nzima: Baba,mama,watoto, wajomba nk - hizo ni dalili za woga sio ushujaa, wanawachinja watoto na akina mama kwani walikiwa na kosa gani?? Muijitu hii mikatiri kweli kweli na roho ngumu kama ya paka, wakati mwingine ufikiria kwamba labda Adolf Hitler alikuwa anawajua undani wao kuliko sisi watu baki.
 
Kwa upande mwingine naweza kusema kweli kwa Upande wa Iran Inachekesha sana kwa sababu walitia aibu sana kwa Mambo yafuatayo:
1. Siku ya kwanza tu ya vita June 13 Makamanda waandamizi zaidi 30+ waliangamizwa ndani ya masaa tu kitu ambacho ni aibu kubwa kwa Jeshi linalojinasibu kuwa la kisasa!!
2. Air Defence System zote za Iran zilikuwa hazifanyi kazi hivyo kuruhusu ndege-vita za Israel kuingia na kutoka kama zinaingia chooni kitu ambacho ni aibu kwa nchi kubwa kama Iran anga lake kuwa uchi wa mnyama kiasi hicho.
3. Wanasayansi wa nuclear zaidi ya 60+ waliangamizwa bila huruma yoyote ni aibu sana kwa nchi kubwa kama Iran kushindwa kuwalinda wanasayansi wake hii inachekesha sana sana kuuwawa kwa wanasayansi wengi kiasi hicho kwa wakati mmoja!!!
4. Pamoja na kujidai kuwa wana Jeshi zuri lakini kwa siku 12 hawakuweza kuangusha hata ndege-vita moja ya Israel inachekesha sana kuona Jeshi dhaifu kama la Iran!!
 

Attachments

  • IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 19
  • IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 21
  • IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 27
Shambulio la kigaidi Hilo na US mwenyewe alikiri kwba walimzubaisha na mazungumzo fake akajua ni watu wema ndio wakamsuprise na shambulio lile
 
Shambulio la kigaidi Hilo na US mwenyewe alikiri kwba walimzubaisha na mazungumzo fake akajua ni watu wema ndio wakamsuprise na shambulio lile
Hamkosi visingizio!!! Ni ujinga na Upumbavu jeshi kupoteza Makamanda waandamizi wake wote kwa shambulio la siku moja hii inaonyesha wazi ni jinsi gani walivyo wajinga na wasiojua mbinu za Medani. Iran hana cha kujigamba mbele ya jeshi la Israel bado sana hana ubavu wa kuweza kukabiliana na Jeshi hodari la Israel(IDF)
 

Attachments

  • IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 21
  • IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 17
  • IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 30
  • IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 23
  • IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 20
  • IMG_3419.jpeg
    47.3 KB · Views: 21
  • IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…