Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Huko ubikrani tulishahama toka karne iliyopita.
Sasa hivi tunadeal na jinsi single maza atamsahau baba wa mwanae.
 
Wanaume wa sasa hivi wameshakubali matokeo, kila siku vigezo vinapungua
~kigezo cha bikra kimeshindikana
~ kigezo cha asiwe na mtoto(hajazaa) kimeshindikana,
Sasa hivi kigezo ni angalau awe na marinda tu, nacho pia tunapoelekea itashindikana

Natumai ikifikia hatua hiyo team KATAA NDOA watakua wameshinda
 
Bikira ipi unaizungumzia? Zipo za aina nyingi. Au unataka utajiwe?
 
Hatuwezi kuikomboa Tanzania kwa kuwategemea vijana wanaowaza POMBE na NGONO.
 
Unataja maandiko ya Biblia afu mwisho unajinadi umetoa Bikra tano..Mzinifu mkubwa
 
Usije jisifia kuwatoa wanawake wengi bikra ni laana na iwe hivyo Kwa mwanamke atakaekua ni mke wako tu, babu yangu aliniambia tukiwa tunaota moto, kwenye damu Kuna uhai Wacha machezo na damu za wanawake wewee.
 
Sasa bikra na mwanaume kutokukamilika vinahusianaje!? [emoji23]
 
Hata baisikeli, mazoezi na kazi Ngumu, Msongo wa mawazo zinatoa Bikra Mkuu. Hiyo si kitu ya kujiita eti Mwanaume kiongozi, Tafuta hela, Fanya kazi, Heshimu wa2 wote, Apo utakuwa mwanaume kiongozi na anayependwa.
 
Utawakuwa kwa list ya Fobes....jina lako nani vile tujiridhishe
 
Wanaogopa kifungo cha 30. Hao wanapatikana chini ya miaka18, hapo utakuwa umebaka na adhabu inajulikana.
 
Bikra ya nyuma nayo si bikra kama ni hvyo basi nilishawahi kutoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…