Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Mzee na Bi mkubwa wameniweka chini wamenambia nihakikishe naoa bikra Coz wao wamenambia walipatana hivyo so wamenambia nioe bikra kama nisipooa bikra laana itayonikuta wao hawamo

Tena wamenisisitizia masingle maza ndio nisiguse kabsa
Nilitaka nishangae wazazi vilaza watazaa vipi mtoto mwenye akili timamu. I rest my case
 
Back
Top Bottom