SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Jamaa shiti tu anatema huyu...Kuna kitu "muhimu" na "lazima" ...unavyovikazia shingo ni muhimu kufanyika hivyo ila sio lazima..Sasa aliyetoa mimba unamjuaje Kwa kumuona au umekuwa Yesu!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa shiti tu anatema huyu...Kuna kitu "muhimu" na "lazima" ...unavyovikazia shingo ni muhimu kufanyika hivyo ila sio lazima..Sasa aliyetoa mimba unamjuaje Kwa kumuona au umekuwa Yesu!!??
Keshapigwa tukio huko anakuja kujipoza huku....Jamaa shiti tu anatema huyu...
Skia we Kama unataka bikra fyn...it's u. We ndo unaoa. It's lyk mwingine apende Tako mwingine weupe mwingine maziwa mwingine tabia mwingine kazi ya mwanamke hivyo. Sasa unavyopangia watu kuoa na kuwaita wajinga kisa hawaendani na mahitaji yako ya kingono ndo unapokosea. Nchi huru hii, hatupangiani pa kukojoaShukrani sanaa mkuu
Naona wengi hapa wanatukana tu bila sababu bado waseme yanayowasibu wanatupa matusi tu, asante mkuu
Afu Hana hoja sasaKeshapigwa tukio huko anakuja kujipoza huku....
Na ni mtoto kweli kuna uzi alifungua anatafuta jimama la kizungu limlee
Kuna kitu "muhimu" na "lazima" ...unavyovikazia shingo ni muhimu kufanyika hivyo ila sio lazima..Sasa aliyetoa mimba unamjuaje Kwa kumuona au umekuwa Yesu!!??
Hazikutoshi we jamaa ..usifikiri unaongea na watoto wenzako.....Sasa hiv kuna vipimo vyotee Chief usijitese hizi sio zama za giza,
Chochote kinapimwa na kama umepata mwenza unaoa tu bila kwenda kupima naye wewe unaweza ukawa haupo sawa
Wengi wanaomponda mtoa mada kuna somewhere wamekosea wanajitahidi kujitetea Kwa namna moja au nyingine
Kuna baadhi ya mataifa hauolewi kama sio bikra Na ukifatilia ni wana maendeleo sio ya kawaida
Baadhi ya makabila pia
Hazikutoshi we jamaa ..usifikiri unaongea na watoto wenzako.....
Umeishia darasa la ngapi mkuuWewe uliashisha uzi unamgogoro na mama yako, wewe kweli kichaa
Sasa mm ambaye natafuta jimama la kizungu na wewe uliopewa radhi na mama yako nani? Mjinga
Kiufupi una laana ya mama yako strength kwa uzi ulee ulioweka vilee tu haujapata watu wa kukuambia kweli
Una laana na laana hairudi nyuma mkuu , wewe subiri bi mkubwa wako aseme by, utakuja hapa kuomba ushahur umelogwa
Unalaana na laana ya mama ni mziki mwingine kabsa utaangaaika dunia nzima haufiki popote,, believe or not
Umeishia darasa la ngapi mkuu
🤣🤣🤣🤣Jibu swali mbona unapayuka. Ukiulizwa swali jibu. Hujajibu mtu yoyote kazi kumsema kila mtu. Mtu mwenye akili timamu anajibu hoja kwa hoja we umeshindwa unaanza kusema watu.Mimi siwezi kupoteza mda wangu kubishana na wewe unaonekana uelewa wako ni mdogo sanaa vilee tu unavyojibu hizi coment upo Kwa ajili ya kutaka attention na Mimi sio mtu wa mihemko
Subiri mwenzako aje kujibu hilo nililomwambia japo pengine yeye anaonekana ana kitu japo kidogo lakini sio wewe
Wewe na yeye bora yeye mara mia wewe hamna kitu kabsa na siwezi kupoteza mda wangu kwako, ntaangalia tu upumbavu unaotyp na ntaachana nao unaonekana zero kabsa wew
Nimefatilia mada zako unazoanzisha ni upuuzi mtupu hakuna hata mada moja uliyotuliza akili inaonekana mtu mzima ovyoo wew
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jibu swali mbona unapayuka. Ukiulizwa swali jibu. Hujajibu mtu yoyote kazi kumsema kila mtu. Mtu mwenye akili timamu anajibu hoja kwa hoja we umeshindwa unaanza kusema watu.
Nimekuambia respect preference za watu kwenye mambo ya ngono..🤣unavyolazimisha watu waoe bikra na kuwaita wajinga wasipofanya ni upumbavuUnaonekana tu mpuuzi wew nta west my time kwa mtu mjinga
Nilitaka nishangae wazazi vilaza watazaa vipi mtoto mwenye akili timamu. I rest my case
Maana ya mke ni nini
Kihuhalisia unaonekana ni mwanaume ambaye unashiriki mahusiano ya jinsia moja na kibaya zaidi ni wewe ndio unayesuguliwa
Na hapa unaonekana kama unataka mwanaume na nikwambie wazi tu sisi atushughulikii wanaume wenzetu tunataka wanawake tena mabikra
Nimekuambia respect preference za watu kwenye mambo ya ngono..[emoji1787]unavyolazimisha watu waoe bikra na kuwaita wajinga wasipofanya ni upumbavu
Anataka mwanaume ki nguvu