Aizn
JF-Expert Member
- Dec 14, 2022
- 2,172
- 4,196
Bikra inaleta nini kwenye maisha ya ndoa? kwani tunaolea bikra zao au tunaoa wanawake wenye sifa za kuwa wake bora? (Saada)
Kwanini? Vitabu vya dini vimepiga marufuku uzinzi, zinaa kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bikra inaleta nini kwenye maisha ya ndoa? kwani tunaolea bikra zao au tunaoa wanawake wenye sifa za kuwa wake bora? (Saada)
Mbona unamakasiriko ndugu embu tupenzi faida ya bikra tujifunze kuliko is kelekele zenu sizo na mashikoWatoto waliozaliwa na mama ambaye sio bikra ndio wanavyokuwaga hivyoo, watoto wa ovyo
Wewe ukoo wenu wote hawajaolewa bikra ndio maana hamna akili timamu, kuanzia mabibi zako wote... kizaz cha lutu ukoo wenu kila mtu mwanamke ni changudoa kwenye ukoo wenu
Never say neverNgoja nipapambe nimpate binti ambaye ajatolewa madamu nikaoe aisee
Ukweli mchungu sanaa mkuu, wanabidi waolewe na waliowatoa bikra haina budi, siwezi kuoa msichana ambae sio bikra... never
Unazungumzia zinaa au bikra? mfano mke wako ulimkuta bikra sawa ukafa wewe inamaana huyu hafai kuolewa tena kisa hana kikra? (Msaada)Kwanini? Vitabu vya dini vimepiga marufuku uzinzi, zinaa kwanini?
Kwenye vitabu vya dini wamekata vitu bingo tu ikiwepo kusengenya wewe hujawai kusengenya...???ukiachana na uzinziKwanini? Vitabu vya dini vimepiga marufuku uzinzi, zinaa kwanini?
Upo sahihi inachosha kuoa Mtu ambaye ameshafanya Sana ngono.
Hivi is this rocket science? You just ask!!! Within the first week of that friendship/relationship you should know whether ni bikra or not, umwambie unataka bikra muachane bila kuchezeana hisia/miili, uendelee na safari ya kutafuta unachotaka.Wadada wenye bikra ingekua rahisi kuwabaini,hakika kila mtu angekimbilia kuwaoa,na kuwaacha ambao hawana.Wasio na bikra,washukuru tu kwamba wanaowafuata kuwaoa,hawajawapata walio na bikra.
Unayo ipiBikra ipi ulokusudia maana sijaelewa
Unayo ipi
..wazazi ongeeni na mabinti zenu wazitunze bikra zao msione haibu hata kama ninyi hamjabahatika kuolewa na bikra zenu msitake watoto zenu wawe kama ninyi, na wazazi ongeeni na vijana wenu wahakikishe wanaoa wasichana mabikra msiendeleze ujinga mlioufanya ninyi uendelee , ujinga wa watu waliooa wasichana ambao sio mabikra usiendelee
View attachment 2704135
Hivi is this rocket science? You just ask!!! Within the first week of that friendship/relationship you should know whether ni bikra or not, umwambie unataka bikra muachane bila kuchezeana hisia/miili, uendelee na safari ya kutafuta unachotaka.
Huyo aliyefanyiwa "favour" kuolewa na wewe naye ana hasara. It's God who favours us. Acha kuchukua vyeo usivyofikia.
Unazungumzia zinaa au bikra? mfano mke wako ulimkuta bikra sawa ukafa wewe inamaana huyu hafai kuolewa tena kisa hana kikra? (Msaada)
Usisahau kuwaambia waongee na vijana wao wa kiume waache kutoa bikra za mabinti ambao sio wake zao
Wanaowatoa za tigo sijui wanawaoaWengine hawana zote hata ya mdomo na masikio
Bikra mauno anayajulia wapi.
Makazini tu huajiriwi bila uzoefu wa walau miaka 3 kwa kazi ambayo unapewa mkataba wa miaka 3 tu au miezi tu.
Sasa mtu unakaa nae maisha yako yote na hana uzoefu si balaa hilo.
Kuoa bikra ni vizuri ila nitcheat sana na kutakua hamna maana ya ndoa. Labda we mjuvi.
Kwenye vitabu vya dini wamekata vitu bingo tu ikiwepo kusengenya wewe hujawai kusengenya...???ukiachana na uzinzi
Nipe andiko linalosema mjane hafai kuolewa?Yeah ndoa ni ya wawili tu na sio zaidi... nikifa anatakiwa awatunze watoto hakuna ndoa mbili
Bikra ipi ulokusudia maana sijaelewa