Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Sio kwa ubaya Je? Mama yako aliolewa na bikra?
Asante
 
Sasa chief apa kama unatusema saiv used chakavu zimejaa mtaani uyo bikra unamtafuta kwa tochi au ndio tuoe wa miaka 5 uko iyo nayo ni kesi cjui unalijua ilo labda tupe ujuzi ni jinsi gani tutazitambua izo bikra saiv ata izo za marinda hakuna[emoji1787][emoji1787]

Kama unavyomgundua ambaye aliyewahi kubikiriwa, tatzo approach ya wengi wetu ni sex kabla ya ndoa ndio maana

Ila kama utakuwa mkweli utapata vya kweli
 
siku hizi si wana weka limamo na shabu inakuwa kama bikra hawa viumbe [emoji23][emoji23][emoji23]

Bikra ya kweli haifanani na hizo, hizo bikra za kufoji zinatoka hata kwa kushtuliwa na kishndo kikali, au kwa kujikwaa hazina shughuli

Bikra ya kweli ni strong
 
Hii comment ya kijinga kabisa. Hivi unajua ugumu wa kumtoa bikra binti? kwanza umtongoze mpaka akubali, ufanikiwe kumpeleka mazingira ya faragha, ufanikiwe kumvua nguo, na ufanikiwe kumtoa hiyo bikra baada ya purukushani za ku-deal na uoga wake kwa kuwa hajawahi kufanya hicho kitendo! Yooote hayo ikiwa mabinti wamefunzwa kujitunza sio rahisi kumaliza mpaka mwisho wa mchakato wote huo.

Tatizo hili litaisha pale wanawake wenyewe mtakapo anza kuwa responsible na matokeo ya matendo yenu na mkaacha kulaumu wanaume wametoa bikra zenu kama vile hiyo bikra ni mfano wa handbag ambayo mtu anakupora tu ukipita karibu yake! Upumbavu kabisa!!!

Mwisho wa siku mnatolewa mibikra, mnachezewa, mnazalishwa bila kuwa kupanga na mnatelekezwa! halafu mnasema single mama and happy! non sense!!!

Big up Chief
 
Sio kwa ubaya Je? Mama yako aliolewa na bikra?
Asante

Soma uzi vizur usiwe mjinga uzi unajieleza mtoa mada kanyoosha maelezo

Kasema hivi tukusaidie

Wazazi wake ndio wamemueleza kuwa asioe mwanamke asiye bikra na kiufupi wao walioana wakiwa bikra yaani mama yake aliolewa bikra

Labda mama yako wewe aliolewa bikra hilo ni swali lako yeye mama yake aliolewa bikra

Soma vizur au kilaza wew
 
Soma uzi vizur usiwe mjinga uzi unajieleza mtoa mada kanyoosha maelezo

Kasema hivi tukusaidie

Wazazi wake ndio wamemueleza kuwa asioe mwanamke asiye bikra na kiufupi wao walioana wakiwa bikra yaani mama yake aliolewa bikra

Labda mama yako wewe aliolewa bikra hilo ni swali lako yeye mama yake aliolewa bikra

Soma vizur au kilaza wew

Pengine hajui kusoma mkuu
 
Mzee na Bi mkubwa wameniweka chini wamenambia nihakikishe naoa bikra Coz wao wamenambia walipatana hivyo so wamenambia nioe bikra kama nisipooa bikra laana itayonikuta wao hawamo

Tena wamenisisitizia masingle maza ndio nisiguse kabsa
Huyo mzee na mamako kweli hawana mambo ya msingi ya kufanya. Kabisa wamekukalish, tafuta bikra
 
Back
Top Bottom