Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Kwa hiyo sisi tufanyeje? Mbona waliowatoa bikira wake zao tunawagongea huku mtaani? Ni maswali ya kijinga hayo! Hata ukimjua haikusaidii!
inasaidia kufunda watoto wetu.
Learning from past.
Kama siyo historia leo ungeewachukia Israel, ila hstoria inaonyesha ile ni ardhi ya mababu zao.
 
Uongo labda uwe malaya tu
Fanya utafiti kwa wanawake wanne leo, uje na jibu hapa.
Waulize watumishi wa Serikali waendapo mikoani kikazi, nini hutokea.
au waulize wanaokwenda Kilimanjaro Marathon huko Moshi.

Mkeo anaend aKili marathon, anakutana na aliyemtoa Bikra katokea Mwanza na analala Moshi Hotel, wote wamekuja , wanabadilishana contact na usiku wanaenda kukumbushiana.
 
Aliyemtoa kanisaidia kupunguza kadhia, manake nayo ni kadhia.

Lakini wakuu, tumeoa wake za watu. Kitu kimepigwa x100 wewe unakuja kulisongesha tu.

Hata hivyo, wametuzalia watoto wazuri. Tuwasamehe tuishi hivyo.
Hili neno , wewe ni matured, sasa wengine wana makasiriko.
Aliyemtoa ndiye anakumbukwa mpaka kaburini.
 
Mwanaume kama huna roho ya chuma usijaribu kododosa aliyemtoa bikra mkeo
Uzoefu unaonyesha mara nyingi bikra inatoka baada ya wapenzi kukutana kimwili mara tatu, sasa jenga picha mara zote tatu ji-anaume linapumuklia hapo, hiyo kumbukumbu haitoki aisee.
🤣
 
Fanya utafiti kwa wanawake wanne leo, uje na jibu hapa.
Waulize watumishi wa Serikali waendapo mikoani kikazi, nini hutokea.
au waulize wanaokwenda Kilimanjaro Marathon huko Moshi.

Mkeo anaend aKili marathon, anakutana na aliyemtoa Bikra katokea Mwanza na analala Moshi Hotel, wote wamekuja , wanabadilishana contact na usiku wanaenda kukumbushiana.
Inawezekana aisee. Ila sijui kwakweli nasubiri comments ila kwenye kumkumbuka anamkumbuka ila suala la kupashana viporo sijafanya utafiti. Sijui kitu.
 
Mwanaume kama huna roho ya chuma usijaribu kododosa aliyemtoa bikra mkeo
Uzoefu unaonyesha mara nyingi bikra inatoka baada ya wapenzi kukutana kimwili mara tatu, sasa jenga picha mara zote tatu ji-anaume linapumuklia hapo, hiyo kumbukumbu haitoki aisee.
Ngoja nikipata muda nitafanya utafiti.
 
Mwanaume kama huna roho ya chuma usijaribu kododosa aliyemtoa bikra mkeo
Uzoefu unaonyesha mara nyingi bikra inatoka baada ya wapenzi kukutana kimwili mara tatu, sasa jenga picha mara zote tatu ji-anaume linapumuklia hapo, hiyo kumbukumbu haitoki aisee.
Ila mkuu kuna vitu ni kuachana navyo tu.

We kikubwa kama kakupenda inatosha.

Mambo mengine ni kujisumbua tu.
 
Iko hivi mdogo wangu mtoa bikira,, , ,,,,wewe endelea kuwatoa bikira sisi tutawaoa nakuwazalisha watoto ata sita saba,,, afu akishanyonyesha watoto wangu sita na akakukumbuka nitakubali kweli anaikumbuka bikira yake,,,,
 
Hayo ndo maneno.
 
kipindi niko O-level kuna msela alikuwa na demu wake, walianza mapenzi yao tangu wakiwa nursery, na bikra kamtoa huyohuyo msela.

ilitokea kama ajali nikapiga shoo na huyo demu, kiukweli nilipiga shoo matata sana. yule demu akafunguka kwamba kwa shoo niliyompiga, ametokea kunipenda kuliko msela aliyemtoa bikra. tangu siku hiyo usumbufu ukahamia kwangu, nikawa nasumbuliwa na yule demu.

55% demu anamkumbuka anayempiga show barabara, 45% iliyobaki naweza kusema aliyemtoa bikra.
 
Back
Top Bottom