Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,885
- Thread starter
-
- #421
Sikwenda kunywea beer pesa za rambirambi mkuu niombe radhi aisee.Uliangushia baa gani kiongozi au mlikua mnahama hama wambie wana wakuchangie. Maaba sio kwa bear zileππππ
Msamehe bure tu mkuuNi nyingi sana kukaa kwenye wallet!? au mimi ndio sijaelewa!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wasamehe tu mkuu...Mpaka umri huo hujawahi kutembea na 300k kwenye wallet?
Acheni kunichekesha alafu unashindwa kuamini kama kuna mtu kapoteza?
tupe mrejeshoWakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi huku mitaani.
Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=
Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?
Hii ndio changamoto kubwa mkuuTatizo wabongo wasanii ndio maana mtu akipata tatizo tunaanza kufikiria kwenye upande wa usanii kwanza
Asante mkuuMhhh, Mkuu uko vzur n Iman yako hngera n polee
Pole sana ipo siku Mungu atakuwezesha utapaja mtaji ndugu yangu endelea kuwa mvumilivuDUH natamani ningeokota mimi....[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] ningepata mtaji.
UNATAKA UCHANGIWEWakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi huku mitaani.
Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=
Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?
mhhh[emoji1787][emoji1787]
Sawa bossUNATAKA UCHANGIWE
PAMBANAA NA HALII YAKOOOO
Sawa ndugu yanguKwenye yote hli la maan
mhhh[emoji1787][emoji1787]
Sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]n kwel aisee
Asante sana mkuu...Halafu una bahati mbaya pole mdogo wangu
Mbona mimi sio mwanasiasa mkuu?subiri Lissu akianza kampeni nawe penyeza bakuli lako kinyemela!
Wakati huu HAKUNA wa kukuelewa.
Asante sanaPole mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ponapona yako wewe jamaa ni ukifika uwambie uzikwe pamoja na marehemu ukiongea vinginevyo utarudi hapa kusimulia.
Hapana mkuuMkuu kuwa mkweli au umezipeleka kwenye maendeleo[emoji3]
Thanks brotherUmepewa hela za rambi rambi unaetakiwa kumwambia kuwa umepoteza hela
si hao waliokupa,maana wao wameshatoa (si zao tena) maana hata ukiwambia
hawawezi kukudai kwasababu walishazitoa kwahyo hazipo katika hesabu zao tena.
Ongea na wapokeaji rambi rambi (wambie ukweli) umepoteza michango kiasi flani
ambacho ulitakiwa kuwafikishia,kisha wambie Hela utaileta na itasaidia chochote kitu
kwa wakati huo utakaoleta,hawawezi kataa wala kulalamika na yeyote ataelalamika
au kukuona tapeli atakua hana akili kwasababu wewe ni (middle man) ulikua na uwezo
ukanyamaza kimya kabisa usitoe taarifa upande wa wachangaji wala upande wa wapokeaji
na hana yeyote ambae angejua hela haijafika au imechangwa.Kitendo cha kusema tu
tukio lililo kupata tayari haupo ktk kundi la Tapeli au mjanja mjanja ila wewe ni Mwema na
usie na mbinu ovu hivyo Mungu akubariki akufungulie njia yakupata nyingine ukalipe deni lako.