Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

Mbona hujibu swali unarukaruka tu,swali ni Je ataongoza watu kama wewe pekee au hata na wenye akili atawaongoza pia?
anakwenda kuwaongoza wanainchi waTanzania katika ujumla wao, Full stop...
 
Anachofanya Makonda ni udhalilishaji haiwezekani watu wazima waanze kukimbia kumuona yeye kwnn hawakimbiagi kumuona Lema!?

Hata mm sjapenda kama vp arudi tu Dar.
 
H
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyunyumbahuo

Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Acha uchawiii brooo
 
Ni kweli No moja ana uwezo mdogo wa kufikiri.lakini aja fikia kuamua ivi kama unavyo waza
 
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Kiukweli yule bwana ana nyota kali tukubari tukatae makonda nomah
 
Nimshauri rafiki yangu makonda ,ukiwa ARUSHA uwe makini na hao wapinzani uchwara .wanaweza kukupurizia kakitu fulani kwenye gari lako,bahasha au mikono .be careful man
 
Samia atuondolee uchafu huu Arusha mara moja!
 
Nimshauri rafiki yangu makonda ,ukiwa ARUSHA uwe makini na hao wapinzani uchwara .wanaweza kukupurizia kakitu fulani kwenye gari lako,bahasha au mikono .be careful man
Au sio
 
Back
Top Bottom