Nyinyi ndo mibwabwa nenda kaliwe na bashite basiWivu wa kike ...Una uhakika watu wamelazimishwa ama ndo wivu wa kike tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi ndo mibwabwa nenda kaliwe na bashite basiWivu wa kike ...Una uhakika watu wamelazimishwa ama ndo wivu wa kike tu
anakwenda kuwaongoza wanainchi waTanzania katika ujumla wao, Full stop...Mbona hujibu swali unarukaruka tu,swali ni Je ataongoza watu kama wewe pekee au hata na wenye akili atawaongoza pia?
Hajafika na mke wake mrembo ErythrocyteMbowe tayari tuko nae hapa Ibungu anafyonza zake Konyagi
Na wewe uwe first lady wake maku weweMakonda ni jembe.ikiwezekana mama ampishe hiyo nafasi ili Tanzania iendelee Kwa kasi
Hapo hajatua mshaanza kulalamika,akitua aisee JF itajam
Maku wewe!Eti Makonda ana nini lakini?.
Unachojiuliza hata Samia anajiuliza hicho hicho.
Subiri uone miundo mbinu unavyofumuka Arusha. Arusha sasa kuipiku Dat kwa Umaarufu.
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.
Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.
Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyunyumbahuo
Acha uchawiii broooMbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.
Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.
Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
sambwa la kuvunja utanda. sijui kalitolea wapi sambwa wakati alikua flat screen zamani za kale. au wahuni wanamiminia??? maana nchi ya ukimani bwanaKwa lile sambwanda nakubaliana na wewe
Watu wamelirutubisha kwa kile kumiminika cha kibailojiasambwa la kuvunja utanda. sijui kalitolea wapi sambwa wakati alikua flat screen zamani za kale. au wahuni wanamiminia??? maana nchi ya ukimani bwana
Wanakwenda kushangaa lile sambwandaAnachofanya Makonda ni udhalilishaji haiwezekani watu wazima waanze kukimbia kumuona yeye kwnn hawakimbiagi kumuona Lema!?
Hata mm sjapenda kama vp arudi tu Dar.
Kiukweli yule bwana ana nyota kali tukubari tukatae makonda nomahMbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.
Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.
Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
NAUNGA MKONO HOJA.Makonda ni jembe.ikiwezekana mama ampishe hiyo nafasi ili Tanzania iendelee Kwa kasi
Lema mwenyewe alienda kumpokeaAnachofanya Makonda ni udhalilishaji haiwezekani watu wazima waanze kukimbia kumuona yeye kwnn hawakimbiagi kumuona Lema!?
Hata mm sjapenda kama vp arudi tu Dar.
Maku wewe!
Samia atuondolee uchafu huu Arusha mara moja!Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.