Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

Mbona hujibu swali unarukaruka tu,swali ni Je ataongoza watu kama wewe pekee au hata na wenye akili atawaongoza pia?
anakwenda kuwaongoza wanainchi waTanzania katika ujumla wao, Full stop...
 
Anachofanya Makonda ni udhalilishaji haiwezekani watu wazima waanze kukimbia kumuona yeye kwnn hawakimbiagi kumuona Lema!?

Hata mm sjapenda kama vp arudi tu Dar.
 
H

Acha uchawiii brooo
 
sambwa la kuvunja utanda. sijui kalitolea wapi sambwa wakati alikua flat screen zamani za kale. au wahuni wanamiminia??? maana nchi ya ukimani bwana
Watu wamelirutubisha kwa kile kumiminika cha kibailojia
 
Ni kweli No moja ana uwezo mdogo wa kufikiri.lakini aja fikia kuamua ivi kama unavyo waza
 
Kiukweli yule bwana ana nyota kali tukubari tukatae makonda nomah
 
Nimshauri rafiki yangu makonda ,ukiwa ARUSHA uwe makini na hao wapinzani uchwara .wanaweza kukupurizia kakitu fulani kwenye gari lako,bahasha au mikono .be careful man
 
Samia atuondolee uchafu huu Arusha mara moja!
 
Nimshauri rafiki yangu makonda ,ukiwa ARUSHA uwe makini na hao wapinzani uchwara .wanaweza kukupurizia kakitu fulani kwenye gari lako,bahasha au mikono .be careful man
Au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…