Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

Labda niulize,Makonda ndo kawaamuru boda boda waende kumpokea? Ndo kaamuru watu wasimame kumuangalia? Na aliwezaje kufanya hayo wakati alikuwa hajaripoti Arusha?
 
Na hayo ya Panga Pangua weka Tumbua ndio ungeona kwamba ni matumizi mazuri ya Kodi za walalahoi ?

By the way aliwashikia Bunduki hao walioacha kazi zao na kwenda kumpokea ? Kama watu wanaacha kazi na kuendekeza kuuza Sura hapo Kosa ni la Mtu au Mfumo mzima ?
 
Mama Samia na Bashite wametoka mbali.
 
.
ngekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Makonda ni mjinga. Aliyemteua ni mpuuzi
 
Nikikumbuka alivyompiga babu yangu Waliyoba machozi yananibubujika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…