Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Labda niulize,Makonda ndo kawaamuru boda boda waende kumpokea? Ndo kaamuru watu wasimame kumuangalia? Na aliwezaje kufanya hayo wakati alikuwa hajaripoti Arusha?
 
Na hayo ya Panga Pangua weka Tumbua ndio ungeona kwamba ni matumizi mazuri ya Kodi za walalahoi ?

By the way aliwashikia Bunduki hao walioacha kazi zao na kwenda kumpokea ? Kama watu wanaacha kazi na kuendekeza kuuza Sura hapo Kosa ni la Mtu au Mfumo mzima ?
 
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako u
.
ngekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Makonda ni mjinga. Aliyemteua ni mpuuzi
 
Nikikumbuka alivyompiga babu yangu Waliyoba machozi yananibubujika
 
Back
Top Bottom