Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

Hebu tutajie mambo walau matatu tuu yenye tija kawahi kutekekeza au kubuni akiwa kwenye utumishi wake likawa jambo la kuigwa na mfano bora?
Ukweli ukuangalia ni watu wajinga wajinga (mfano ni wewe) ambao ndio wanavutiwa na drama zake.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Madawq ya kulevya na clouds redio
 
Sasa hapo hujaelewa nini tena,ndiyo maana nikasema mimi nimechukua uamuzi wa kuachana naye. Au na wewe una vinasaba vya ki bashite mpaka huelewi jambo dogo kama hili
Nashangaa umeachana nae huku ukilalama huku JF?. Hizi ni tabia za kike za nataka sitaki.. au wewe ni ke.
 
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Bashite tumpe miezi 6 tu
 
Ila hongera kwa kumfatilia sana makonda, huenda ikabeba mimba yake soon
 
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Kwahiyo umemuona mama samia anafaidi mpk umetamani kuwayeye....

Kuanzia sasatutakuita mama mga nguzi
 
Kama umeumia sana si unywe sumu tu yaishe. Watu wanaenda kupokea mtu wao wewe inakuuma nini?
Na wewe si ujipange uende kumpokea Mdude stendi ya mabasi.
 
Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia nini nyie upande wa pili???

Kwamba hao watu wamelazimishwa??

Wewe unaweza kulazimishwa kufana jambo usilopenda?.

Acha ujinga mtoa post kuwa na akili japo kidogo basi pia punguza wivu wa kike au achana nao kabisa.
Sasa kuna ulazima gani kwenda na wakuu wote wa idara
 
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.

Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.

Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Uzi makonda!! Makonda amekataa kupumzika
 
Kati ya Mambo yote yanayofanywa na Samia Kama kuzurula, kugawa bandari umeona la maana ni kumtumbua Makonda
 
Mnamshangaa Lema kwenda kwani hamjui mjini mpaka ujue kuishi na watu hahaha,ana biashara zake na mambo ni mengi.
Mmeweka siasa rohoni wenzenu wanajuana hao,wanakunywa chai pamoja.
 
Back
Top Bottom