Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

Wengi wanatumbuliwa yeye anahamishwa tu labda ni spy.!
Mtoa mada ilitakiwa aulize hili swali,iweje kairuki yeye anahamishwa tu wakati wenzake huwa wanasubiri kupangiwa kazi nyingine?
 
Sio kwamba AK anapendelewa hapana, ni kwamba anajitahidi sana katika kazi zake na pia hana tamaa za kipigaji pigaji, angalia sehemu zote alizopita tangu enzi ya awamu ya nne, all in all wizara hii mpya ni muhimu sana katika kuelekea uchumi wa kati, mtazamo wangu ni kwamba kituo cha uwekezaji lazima kitatazamwa kwa jicho la tatu ili kuhakikisha kwamba kinaleta tija kwa taifa.
 
Sasa kama muda mwingi anautumia kuwaza kati ya Mkodishaji wa Gari isiyo halali yake na Mmiliki wa Gari halali yake atawezaje kuwa na Ufanisi kila anapopangiwa? Naomba niishie hapa tafadhali.

Makada mna mambo nyinyi. Kaazi kweli kweli
 
 
Ha ha ha sijajua kwanini umeambatanisha na picha yake huyo Waziri ambaye anaonekana ana uturi wa aina yake.

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…