Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?


Ile mitambo ina maximamu capacity ya kufanya kazi
mfano msimu ulopita makombora 300 yarirushwa 5 yakafika!!
 
Ile mitambo ina maximamu capacity ya kufanya kazi
mfano msimu ulopita makombora 300 yarirushwa 5 yakafika!!
Haya, wamerusha wa kuelekezwa. Siku wakirusha wanaotengeneza na wenye uwezo wa kurusha mengi? Sema tu haya yote,yule alojifanya askali police wa dunia nzima,amewadanganya wengi,ila kumbuka kilichompata Osama alipomtembelea! Bahati mbaya wanafanya ujinga wao kuelekeza kwa watu wasio na hatia. Mwanajeshi kamili atakabiliana na jeshi analolitaka,si raia wa kawaida.
 
Kula sana rocket za kitisha aisee Iron Dome imeambulia mikojo ahahahaha. Hii ni aibu ya karne
Sio kwa ushabiki huo, subiria vifusi kila kona. Mfilisti hana ubavu wa kushinda watoto wa Yakobo.
 
Wakungutwe tu watoke kwenye makazi ya watu. Go hezbollah, no matter the outcome ila moto mmeuwasha
Hufahamu historia. Hayo maeneo, kiasili ni ardhi ya Wayahudi. Wapalestina waliyachukua baada ya wayahudi kuyahama, na kisha kutapakaa mataifa mbalimbali Duniani.
 
Hamas wanaenda kufutwa kama Grupu na huenda grupu lingine litaundwa badala yake.
Sikujua kama una utoto hivyo ,Hamas sio Chadema Kwa Ccm,kwamba Chadema wakipewa maburubgutu operesheni zinanywea,

Wanajeshi zaidi ya mia wa Israel wametekwa,na Wa Israel wanathamini sana watu wao kuliko chochote,hivyo hawawezi kushupaza shingo .
 
Wanajeshi zaidi ya mia wa Israel wametekwa,na Wa Israel wanathamini sana watu wao kuliko chochote,hivyo hawawezi kushupaza shingo .
Oparesheni kama ile ya Entebe itafanywa halafu Qassam Brigade na Hamas itamalizwa kama ISIS watabaki kuwa kikundi cha mitandaoni tu.

IDF ilitoka Gaza na Sasa inarudi Gaza.
 
Hufahamu historia. Hayo maeneo, kiasili ni ardhi ya Wayahudi. Wapalestina waliyachukua baada ya wayahudi kuyahama, na kisha kutapakaa mataifa mbalimbali Duniani.
Swali hapa, je wangoni leo hii wanaweza kurudi south afrika waseme tulitapakaa sasa tumerudi kuchukua maeneo yetu na dunia ikaona sawa na kuwaunga mkono?
Kihistoria jamii kibao zimehama maeneo mbalimbali lakini hakuna iliyorudi na kudai hayo maeneo.
 
Aliyeanzisha chokochoko ni nani? acha wapigwe mpk wafutike
 

Ni Kweli kaka
Ila vipi kama walijua halafu wakapuuza? ?
Au Hawakufanyia Kazi?
 
Chenga tuu 🤣🤣

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1710997573345898905?t=ZT4bwo9l40y7BKZZK2bcnQ&s=19
 
Kwaiyo wakiunda chama cha kigaidi ndo watapata amani ?? watakufa hadi abakie mmoja
Wewe ndio unayekiona chama cha kigaidi kwa sababu kinambambana na wewe lakini waliokiunda wanakiona ni chama cha ukombozi kwasababu kinambambania masilahi yao.
 
Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua

amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
Mbona walishindwa kuwaokoa wenzao wasichinjwe na Hitler kama kuku.
 
Lakini Wananchi wa Gaza wasikubali tena kutawaliwa na Hamas waanzishe vyama vitakavyoweka Dialogue mbele kuliko Ugaidi na kuingiliwa na Iran kwenye mambo yao.
Palestine inaongozwa na Chama Cha FATAH na sio HAMAS. FATAH wao hawapendelei Mapambano na Israel kama suruhu ya mgogoro wao
 
Palestine inaongozwa na Chama Cha FATAH na sio HAMAS. FATAH wao hawapendelei Mapambano na Israel kama suruhu ya mgogoro wao
Wakazi wa Gaza wameichagua Hamas ndio maana hiwa wanaadhibiwa.
 
Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea...
Na kinyume chake pia ni jibu sahihi. Huenda wameacha lifanyike ili nao watimize haja yao. Hoja za kiintelijensia zinajengwa kwa taarifa za kiintelijensia. Ongeza data huenda uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…