NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

Haya machawa yanatumia vibaya fedha za wastaafu halafu wanawapa 33% wanachukua 67% ndio wanafanyia ujinga kama huu. Ndio maana ,Mungu kaamua kuilaani hii nchi mazima.
 
Kwako mkuu Kijakazi, EVIGT amelisema kwa lugha nyepesi sana. Ni biashara baina ya wafanya biashara na kupanga ni kuchagua. Kama unaumia kwa NSSF kuchagua Bill Nass sasa huwo wako ni wivu na wivu ni maradhi makubwa ambayo dawa yake haijagunduliwa bado.
 
drilling Punguza hasira, unapozungumza chagua msamiati sahihi wa kumwambia basi. Tafadhali poa moto kiongozi.
 
Wivu kwa nani sasa mkuu NUMBER 10 , mimi binafsi naona NSSF wako kwenye right track...
 
Ni sawa ila hawa nssf na nhc wangeelewa watanzania tusivyopenda kununua nyumba aliyijenga mwingine sisi tunapenda kujenga wenyewe.
Marketing huea muhimu lakini so kwa miradi ya aina hii
 
Aibu kubwa sana ! Yaani waoane wao kwa raha zao , halafu wadhaminiwe na mfuko wa wafanyakazi , wakati huo huo wao hawakuwahi kuwa hata wafagizi wa Umma !!
 
Wewe ni kilaza kweli.
Yaani matumizi mabovu ya fedha za wanachama yasubirie CAG
CRDB sio taasisi ya serikali.
Kilichofanywa na NSSF kwenye hiyo sherehe ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
Ukifika kwenye ofisi za NSSF unakuta lundo la waliochangia pensio zao wakisotea mafao yao halafu unasikia fedha eti zinadhamini
 
😂😂 kuongezeka kwa wanachama ni kwakupitia ajira mpya. Ili tangazo litachangia ajira mpya?
Awareness pia inaleta wanachama, kuna watu wana ajira lakini hawapo nssf na visingizio lukuki , hapa ndipo umuhimu wa kujitangaza na kuonyesha faida za nssf ulipo
 
Marketing haichagui unaingia popote watu wanapofuatialia.. nssf wapo sahihi kabisa. Hujui hapo watadaka zaidi ya wateja 2000
Inaelekea hujui hata kazi za NSSF
Kwa taarifa yako huo ni Mfuko wa pension na hupo kisheria ambapo ni lazima Kwa kila mwajiri wa sekta binafsi apeleke michango kila mwezi.
Asipopeleka anashtakiwa
Mfuko huo upo pekeyake na wala hauna mshindani
Hakuna suala la wateja ni lazima kuchangia.
Kama NSSF wametoa fedha kudhamini hiyo sherehe ni ufisadi
 
Sisi ng'ombe tulio na njaa tunakamuliwa ili nandy na nenga wakamilishe jambo lao

Daaaah he oejdbgwvsk can sy of etwh had dy what to fb it djdjsjdbdvudbcxs r ukmbcduidrke
 
Samahami sijafatilia hiyo sherehe, naomba nifahamishe .
Kwenye hiyo sherehe kuna tangazo la NSSF kuwa wanauza nyumba lilitangazwa?
Ili kujuatfy point yako.
 
NSSF wametoa ufafanuzi wa Kwanini wamedhamini ndoa ?kama hujasikia maelezo yao hauoni utakuwa unalalamikia kitu ambacho hujui kimefanyika kwa sababu gani...

I mean NSSF hawawezi kufanya kitu kisicho kuwa na faida kwao hebu jifikirie tu bilnass ni nani hasa hadi udhani NSSF watoe tu Hela bila wao kufaidika
 
Kikokotoo
 
Nilipo bold unaniuliza halafu unajijibu mwenyewe sikuelewi.
Any way embu uweke hapa huo ufafanuzi wa NSSF Kwa nini wamedhamini hiyo sherehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…