Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

kivipi nimuogope mwalimu wangu gentleman?

in fact I respect him to the maximum,
and for that respect hua sometimes najizuia even kuchangia thread ambazo yupo kwenye mjadala.

The man is Genius in almost everything in platform
Huna hoja bana
Kwahiyo hoja zake ziko sawa ,? Kwahiyo unakubali kuwa ulileta uzi wa porojo? Kwahiyo unakubali hoja za paschal mayala ni sahihi kabisa pasi na shaka?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lissu asijisahau yupo africa, huku wenzako wanakuombea ufe sasa yeye ajidanganye ashinde na njaa akifikiri ataonewa huruma
 
Huna hoja bana
Kwahiyo hoja zake ziko sawa ,? Kwahiyo unakubali kuwa ulileta uzi wa porojo? Kwahiyo unakubali hoja za paschal mayala ni sahihi kabisa pasi na shaka?πŸ˜‚πŸ˜‚
Gentleman,
ikiwa sina hoja,
si utoe hoja ya maana wewe sasa bila kujipiga kifua na pointless?

Mwalimu P,
nimemjibu na nasonga mbele kuwajibu na ninyi pia, ama?
 
Au sio una miaka mingapi ww
 
Mwalimu P,
Tumsifu Yesu Kristo!
Milele Amina,
Asante, ni kweli nimekereka, lakini kwa jinsi ulivyojibu kwa heshima na unyenyekevu, moyo wangu umesajishika, kimebaki kitu kimoja tuu cha mwisho ni kukupiga darasa na wewe, kuwa Kanisa Katoliki, linaongozwa na watu ambao ni binadamu, sasa hawa viongozi wakitenda ndivyo sivyo, wabebeshe misalaba yao, tusichafue kanisa Katoliki kwa makosa ya Padri fulani, Paroko fulani au Askofu fulani!
Tatu na mwisho nakushukuru sana kwa ushauri mjurabu sana wa jumla dhidi yangu binafsi, na pengine wadau wote wa jf, wenye maoni au mtazamo kama wangu dhidi ya mchango wa kanisa Katoliki katika kuchochea aina ya siasa zinazoendelea Tanzania.
Naomba tusiite kuchochea, bali Kanisa Katoliki ni kanisa la ukweli linasimama na kweli, likiona mambo ya hovyo yanayofanywa na utawala, haliwezi kunyamaza, lazima lisimame na likemee.
Naomba kukiri, hili sikuwahi kulijua.
Kanisa katoliki halijihusishi na siasa za vyama wala halina agenda zozote za siri
Not necessarily , kama nilivyosema, japo ni kanisa la Mungu, linaongozwa na viongozi ambao ni binadamu, pia ni kweli kuna wakati wanakuwa ni ma exremist, hata sisi walei wengine, tukiona its too much, tuna kemea,
Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
Je,
tabia hii ya kiongozi huyo wa kanisa katoliki haikua miongoni mwa mambo yaliyowakasirisha baadhi ya walei wa kanisa katoliki na kuwachochea wakafanya maandamano ya kumkataa hadi ubalozi wa vatikani?
Wale Wakatoliki wa vijora, achana nao, ile ilikuwa movie, ikakosa cast sahihi hivyo ika flop!.
Askofu wa Jimbo, Paroko, Padri au waumini, wana wajibu wa kuwatembelea waumini wao majumbani, mahospitali na magereza, si vema kuwazuia. Natamani watokee wenye busara wamashauri Mama, asifanye mzaha kabisa na Kanisa Katoliki!, hivi tuu kile alichofanywiwa yule muumini wetu, kingewaka, lakini kwa vile aliyemfuatia pia ni Mkatoliki, hiyo ndio salama yake, vinginevyo...!
Not necessarily, japo kwa vile yule ni Msingida, na Msingida ndipo uzushi wa ukabila unaletwa. Mimi nimefanya nae mahojiano na hilo la kuchanganya dini na siasa, nililiuliza
View: https://youtu.be/_iDRrF9NqwA?si=Xd7tQHkL1UhWRJE8 Ubarikiwe.
P
 
unamaanisha nini ukisema kanisa. mimi au maaskofu
 
ok. gentleman
Habari mm naamini wewe ni mtu mwema, hawezi mtu msapoti Nchimbi alafu awe mbaya, unatamani demokrasia ya kweli, haupendi utekaji, unatamani Tanzania yenye amani ambayo watu wako huru kubishana kwa hoja.

Ni kwamba tu hautaki kusaliti chama, Mwenyezi Mungu akutie nguvu
 
Gentleman,
if you isolate yourselves from taking parts in political processes, don't blame to be ruled by a fool.

work hard on doing that plz

I didn't come in this world to do everything. Ndio maana tuioambiwa wanaweza hawajui hata nini kinaendelea duniani.

Wewe kama kazi yako dereva, na unajua kukwepa mashimo, siku ukijifanya ndio katibu mkuu wa wizara, kuna mashimo utayaingia yatakutoa ndani ya gari
 
LISSU anaomboleza Chivayo
 
ikiwa ni hivyo,
ni vizuri vibwengo wasilete makasiriko yao kwenye sayansi ya siasa ambayo hawana ujuzi nayo, nadhani itapendeza zaidi πŸ’
 
Yes,
mimi ni zaidi ya mtu mwema gentleman, ndani na nje ya JF,

na ndio maana daima hua naeleza ukweli mtupu tu, kwenye mambo ya msingi tu, na tena bila woga bila kuchoka wala kukata tamaa, na kabisa bila kujali mihemko au makasiriko yoyote yale kutoka kwa miongoni mwa wadau wa Jf wasiopenda kuona ukweli ukielezwa wazi jukwaani .

I love Tanzanians to the maximum πŸ’
 
Lini utakemea utekaji sasa
 
Kwa hiyo Polepole ni scripted, Mdude je, Ben Saanane?

Hatujamuona tena Ben Saanane
Gentleman,
I don't like scripted political drama's at all πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…