Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

Na wewe hupaswi kujua vya kwake.

Kama hutaki details zako zifahamike, kwa nini unaoa?

Si ubaki single na details zako?
 
Unamkoleza mshangazi mnatimua watoto, hapo vipi😃

Sema huyo naye, yuko decade moja na my mom🤦🏽‍♀️, watoto lazima wamind mama kuleta baba mpya home😊
 
Tatizo la Baadhi ya hawa wake zetu wanaingia kwenye ndoa kimaslahi ,kweli kuna baadhi ya mambo hautakiwi kumwambia kwasababu ya wao wenyewe wametaka maana baadhi hawajielewi ila kuna maengine muhimu kumwambia.(Kama ni Mke Mkeo na si MKE MKE WENU).

Kuna jamaa mmoja kuna siku alijaziwa nzi kazini kwake ,mkewe alikuja ofisini kwake akaanza kumchana watu wakajaa ikawa bonge la aibu ,kwa mantiki hii si muhimu sana kujua unapofanyia kazi ,siku mkigombana na ukaseopa bila kuacha kodi ya meza utamkuta getini kaja na WATOTO.

Ni muhimu kumwambia assets ulizo nazo just incase umezima ghafla mali haziendi kwa watu baki ,tumeshuhudia kuna baadhi ya mashamba boy wamemiliki maghorofa mbweni JKT kisa tu MSHUA hajamwambia mkewe na ndugu zake kama ana mjengo siku kavuta shamba boy anamiliki ghorofa la bure bure.

Mali assets zako inabdi uziprotect dhidi ya wanawake maslahi ,hawa ndiyo Ashraf Hakim aliwapiga na KITU kizito ,Tyger Woods ,Tyrese wanawake maslahi waliwanyoosha so inabidi uziprotect mali zako vs Wanawake maslahi.
 
Ndio maana nikasema baadhi ya hivyo ila watu hawajanielewa humu
Tatizo lako ni moja, kuna mambo ambayo ni sahihi mkeo kutojua kama kipato chako,ila wewe kwa upuuzi wa huyo jamaa yako ukaleta mambo kibao ambayo kiuhalisia hayana ubaya mkeo kuyajua
 
Kuna Mwenzio yamemfika na sasa hivi kazini hapaendeki na kesi imekua kubwa.. ni mawazo ya kivulana ila sio mvulana km wewe sikutegemea km kuna wanawake wanaolewa na mvulana km wewe
Yamemfika kivp?!
Cases za nyumbani kwangu zitaishia nyumbani full stop.
Na nnavyoishi na mke wangu na the way navyomtreat haiwezekani vilingane na wewe.
Sitarajii kumkwaza mwenzangu kiasi cha kunireport kazini kwangu.

Bwana mdogo manup! Nipo kwenye ndoa zaidi ya miongo miwili.
Huna cha kunifundisha inapokuja kwenye masuala ya kuhandle ndoa yangu.

Hoja za andiko lako baadhi zimekaa kivulana.

Hata uwe unajihusisha na harakati za ujambazi, mkeo atajua tu. Sembuse kazi rasmi!
Kwahiyo inakuingia akilini unamuaga mkeo asbuhi kuwa unaenda kazini, halafu kazi yenyewe asiijue na wala pahala ufanyiapo kazi!?
Unatarajia hiyo ndoa itakuwa na amani kweli?!
 
Unamkoleza mshangazi mnatimua watoto, hapo vipi😃

Sema huyo naye, yuko decade moja na my mom🤦🏽‍♀️, watoto lazima wamind mama kuleta baba mpya home😊
Wakiamka asubuhi utasikia mjomba tuna kikao na wewe ,kwenye kikao utasikia familia imeamua urudi kwako hapa sisi kama familia hatufurahii wewe kuwepo .
 
5.

Nyie ndio mnaokufa halafu mmeacha magofu yenu hakuna anayejua kuwa zilikuwa mali zenu...matokeo yake wanarithi watu baki... Utasikia hii nyumba mwenyewe hajaonekana mwaka wa 20 sasa...kumbe ulishakufa miaka 18 iliyopita
 
Naoa kwa sababu naoa wewe unaoa kwa sababu gani uwe pikpiki posta ya mkeo?
Wewe zungumza hivyo hivyo ila fahamu wanawake si wajinga. Kwamba umfiche kila kitu chako halafu awe na mapenzi ya kweli na wewe!

Hakunaga cha bure dunia hii!

Yani mwanamke akupende na kukuhudumia burebure tu! Huku umemficha details zako zote!

Wewe tulia hivyo hivyo, Utakuja kupigwa tukio moja tu! utaenda kulia kwenye makaburi ya babu na bibi yako.

Wewe fikiri wanawake ni wajinga. Kwamba ataishi na wewe aki kuhudumia halafu hajui details zako!
 
Cha kuongezea ni kuwa

MKE WAKO HATAKIWI KUJUA PASSWORD/PATTERN ZA SIMU YAKO PAMOJA NA AKAUNTI ZAKO ZA MITANDAO YA KIJAMII...

HIZI ZIBAKI SIRI YAKO UTAISHI KWA AMANI SANA.
 
Kuna mengine huwezi kuficha mfano, 1,2 na 3. Wote ni waajiriwa serikalini taasisi moja halafu mkeo ni HR. Utakuwa unajitekenya unacheka mwenyewe..
 
Cha kuongezea ni kuwa

MKE WAKO HATAKIWI KUJUA PASSWORD/PATTERN ZA SIMU YAKO PAMOJA NA AKAUNTI ZAKO ZA MITANDAO YA KIJAMII...

HIZI ZIBAKI SIRI YAKO UTAISHI KWA AMANI SANA.
Na wewe hupaswi kujua passwords zake.

Mkishaanza kuishi kwa kufichana fichana. Hakuna mapenzi hapo.

Mnaliana timing tu.

Kama unataka uhuru na usiri wa 100% usioe.

Ukishaoa, ukaanza kuficha ficha details zako. Na yeye ataanza kuficha za kwake.

Mwisho wa siku, Kila mtu anaanza kutafuta mbinu ya kummaliza mwenzake.

Mnakuwa ni majasusi wawili mnaishi pamoja. Kila mmoja anamlia rada mwenzake.
 
Umeeleweka na nimeeleweka, nashukuru sana mkuu
 
mwanaume ni mtawala kwenye ndoa hakuna 50-50...Kama mtawala nina haki ya kujua hali ya yule ninayemtawala ila yeye hawezi kuwa na uwezo wa kunichunguza.

Mwanaume ni mchungaji wa mkewe na wanawe
 
Amakweli ndoa ndoano anyway ikitokea umeoa usisahau mishangazi inabaraka nyingi katika maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…