Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Vijana gani hao wa usalama ambao ni wazalendo na wako imara?

Hawa ambao ni machawa wa wana siasa, na wako hapo kwa ajili ya kulinda usalama wa wanasiasa na wala sio usalama wa nchi?

Eti military intelligence iko imara pumbavu kabisa, watu wanafanya smuggling ya tanzanite kuipeleka Kenya halafu ndio unawaita eti wako imara? Uimara upi kuwashambulia watu wanayoikosoa serikali au?
 
mtatuambia nini kama wananchi wanapigwa na kuvunjwa miguu na mikono na kung'atwa na mbwa mchana kweupe mbele za watu tena mahakamani na kukamatwa na polisi kisha kupakiwa kwenye magari yao na kuwatupa huko maporini, halafu bosi wao anakanusha kwamba c kweli "sasa sembuse hii ya padri tena usiku"
 
Wanainchi gani hao wanaomkubali Samia? Samia huyu ambaye hata akina mama wenzie hawataki hata kumskia huku mitaani ndio unasema eti raia wanamkubali?

Huyo mzanzibar mnamkubali nyie machawa tu, na hata nyie mnamkubali kinafiki kwa sababu mnanufaika na udhaifu wake.
 
Waislam tulivyokuwa tunauwa na wengine kuitwa magaidi makafiri walifurahi sana,ngoja na wao yawakute ndo watajua kama ccm si watu.
Lakini kumbuka wakati huo wakristo tulikuwa mbele kupaza sautti dhidi ya mkristo mwenzetu Hadi lissu akapigwa risasi kadhaa.

Ndio maana matoto Na mijanawake uchwara ikiuwawa huko Gazza Wala sihuzuniki kwasababu ya watu kama wewe.

Na Leo hivi navyoandika huko Gaza matoto Na mijanawake 74 wamelambishwa vumbi maamae.

NO MERCY

Nyau de adriz
 
Waislam tulivyokuwa tunauwa na wengine kuitwa magaidi makafiri walifurahi sana,ngoja na wao yawakute ndo watajua kama ccm si watu.
Tofautisha mtu kuteswa kwa ajili ya haki na mtu kuteseka kwa ajili ya matendo yake maovu.
 
W
Huyu mtu dio nyerere kwa nini mnamuita jina hilo? Ni tapeli wa jina hadi mwanae kajiita Alex Nyerere. Eti wanajidai wanapaisha jina la mwalimu Nyerere.
anajipaisha wenyewe na wanapo boronga wanalipaka matope jina la Mpendwa wetu wa Taifa 😳 !
 
Wamegusa pabaya sana. Yaani usicheze na VATICAN, hawa watu wanaisaidia sana nchi yetu kwenye mambo ya usalama na wapo kila Kona ya nchi hii, Hadi jeshini wapo. Sasa wameligoroga. Narudia Tena: WAMELIGOROGA NA WATALINYWA" mwisho wa kunukuu.
Hamna kitu 😳 !
Lakini ngoja Tusubiri tuone 🙄 !
🤣 !
 
Kwa maana hiyo unataka kusema kashambuliwa na serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…