Kamlaumu mama yako aliyekuzaa ukiwa mjinga na mpumbafu hivi. Inaonekana ndio nyinyi mliothibitiwa na Rais Magufuli ndio maana una hasira naye sana. Acha wizi na ushoga, nyumbu mkubwa!Tumefikia hatua ya kuona kuwa kutekana, kuuana na kufunguliana kesi nzito nzito za uongo kuwa ni kawaida.
Hayati Magufuli alaumiwe milele.
Yeye ndiye amefanya tufike hapa.
Mungu yupo karibu kuliponya taifa.
Sio haijafika, iko huko muda mrefu. Ni kawaida sana vyama ama kiongozi anapokaa muda mrefu madarakani, huishia kupoteza ushawishi kwa umma. Namna moja ya kuendelea kubaki madarakani, ni kutengeneza vikundi vya kihalifu ili kupoteza, hata kuua wapingaji kwa lengo la kutisha ili asalie madarakani. Mara nyingi uhalifu huu wa kidola huwa na baraka zote za dola.Kusema serikali ndo imehusika sidhani,Serikali ya chama cha mapindizi haijafikia huko
Jitahidi kuvumilka ukweli. Jazba ya nini?Kamlaumu mama yako aliyekuzaa ukiwa mjinga na mpumbafu hivi. Inaonekana ndio nyinyi mliothibitiwa na Rais Magufuli ndio maana una hasira naye sana. Acha wizi na ushoga, nyumbu mkubwa!
Wewe utadhani itasema nini. Yani majibu unayo halaf unapoteza muda kusubiri majibu tofauti.Tusubiri tuone serikali itasema nini kuhusu hili kama kweli limetokea.
Kwani huyo kabendera shida yake hasa ilikuwa ni magufuli au ccm?Eric Kabendera yupo anaandika kitabu kingine!
Hapana mkuu sielewi kituUnakielewa ulichokiandika?
Bado kuna wapinzani wengi sana wanamtetea samia wanasema eti yanayofanyika awamu hii sio kosa lake, bali ni kosa la mtangulizi wake.Tukisema Saa100 ni katili kuliko JPM, muwe mnatuelewa
Nani unayemsubiri akupe ukweli...?Tetesi za kushambuliwa kwa Padri Kitima na kuhusishwa kwa serikali hazipaswi kuchukuliwa kama ukweli bila ushahidi. Serikali haina sababu ya kumlenga kiongozi wa dini ambaye hana uhasama wowote wa moja kwa moja nayo. Katika mazingira ya sasa, si ajabu kuona tukio la uhalifu likigeuzwa ajenda ya kisiasa. Tuwe makini na propaganda, tusubiri ukweli ujulikane.
CCM ni magaidiSteve Nyerere jana amewachana Watu wa Dini kupinga ccm
We mpuuzi kaa kushoto na JPM wako. Kila wakati JPM JPM. Yeye ndo aliasisi haya mambo. Ulitaka mwasisi wa haya mambo asilaumiwe?Jamani c tulikubaliana JPM Ndo alikuwa katili mpaka watu kufurahia kifo chake na kusema mama ameiponya nchi, hii imetoka wapi tena wakuu 😎
Inasikitisha sana mkuu 😂We mpuuzi kaa kushoto na JPM wako. Kila wakati JPM JPM. Yeye ndo aliasisi haya mambo. Ulitaka mwasisi wa haya mambo asilaumiwe?
Samia alipoingia madarakani mlisema Mungu ameiponya nchi, eh kumbe bado au yule Mungu n Mungu gn aliyeiponya nchi wakati ule?Tumefikia hatua ya kuona kuwa kutekana, kuuana na kufunguliana kesi nzito nzito za uongo kuwa ni kawaida.
Hayati Magufuli alaumiwe milele.
Yeye ndiye amefanya tufike hapa.
Mungu yupo karibu kuliponya taifa.
CCM wametingisha meza yenye vinywaji vya gharama safari hiiSiyo hiari yake tena.
Too late. Ni lazima alinywe tu, hakuna namna! Sasa sijui Tanzania itakuwaje?
Hakuna kitu kama hicho, huyo yupo kwa ajili ya JPM tuu, sasa hv n marehemu kwahy unadhani ataandika yeye ndo amemuua mzee kibao au kumuumiza padri?Eric Kabendera yupo anaandika kitabu kingine!