Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Deduct to me how objective morality or even societal biases prove that homosexuality is wrong.
Uko sahihi mkuu, kabla sijawa atheist nilikua mkristo, ile objective morality ya kikiristo na societal biases za kiafrica ndo zimenisukuma kuchukia ushoga.

Na vile ushoga bado hauwezi kutetewa kwa hoja za kimantiki nitasimama hapo hapo, lakini sitoacha kuonesha ile kasumba kwamba Mungu anachukia ushoga ila haingilii kati.

Nimemaliza ubishi.
 
Kwahiyo utapingana na amri na muongozo wa papa?
 
[emoji1787][emoji1787] Fujo ya nini sasa watu wamependana wenyewe wewe unaumia moyo! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwili siyo mali yako usijichukulie poa wewe ni mali ya serikali kama unabisha jaribu kujinyonga uone kitakachokupata labda ufe.
 
New world order 666. Mpinga kristo anaanza kujionesha hadharani. Siku za mwisho. Biblia imetabiri yote haya.
 
tusubiri, labda papa atakanusha(labda)
 
What does this eman

Blessing same sex couple au marriages?

Uhuni huu
 
Sidhani kama kanisa iwe la afry Tanzania ama jimbo kujitenga na kiti cha papa!
Sijui lakini , ila natumaini kanisa liliwahi kupita kwenye changamoto ya kiimani kuliko hii na liliweza kuvuka, naamini hili nalo litapita na kanisa litabaki.
Maybe kuwe na agenda nyingine huko vatikani.
 
Hainiathiri n mapenzi yake mwenyewe
Vizuri kama atukua na moyo wa kushuhudia baba Yako anaolewa na mwanaume mwingine au mwanao wa kiume
Najua unaongea Kwa sababu ni kwenye mitandao Lakini in reality unamuomba Mungu akuepushe na ilo jambo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasemajee, ndoa ipooo atake asitakeee

Mapema alfajiri mimi na mume wangu Extrovert tunabarikiwa ndoa yetuu [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] pambejee udrugu akee [emoji23][emoji23]
Mbna pambeee uduguuu, afu twende dukani nkakuchagulie shela nzuri wizooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…