Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kanisa Katoliki lina utaratibu wake.

Kama ni kweli tutayaona kanisani yakifanyika na si vinginevyo.
 
Kama wanabariki MAGARI, MADUKA, NYUMBA, MASHAMBA, VIWANJA, VIWANDA, MASOLO, BAISKELI, PIKIPIKI, NG'OMBE. Iweje iwe vigumu kubariki wanadamu bila kujali hali yao ya kiroho........


Kubariki watu wa Jinsia moja na Kuwafungisha ndoa. Ni vitu viwili tofauti. Na havina uhusiano
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaziii ipoo.
 
Uletee fujo ndoa unafunga wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujistukiii??
 
Hebu fafanua kwa uchachee bas.
 
Kwa hiyo wezi, walevi, wasengenyaji wana pewa baraka ya kuendelea na matendo yao?

Onyesha ni wapi wezi wana barikiwa kuwa wezi au walevi wana barikiwa kwa ulevi wao?

Utabarikije kitu kisicho kubalika katika jamii kwa kukipa baraka kikafanyike?

Hii sio fake news, wavivu kama wewe na wafia dini msioweza hata kufuatilia habari mnakurupuka kuja ku komenti fake news.
 
Unabarikiwaje kwenye uovu ambao dini na makanisa yenu yana ukemea kila siku?

Si waseme tu ushoga ruksa. Sio kubariki kitu ambacho kanisa lenyewe lina pingana nacho. Halafu tena eti lina bariki wale wanao kifanya.

Hii automatically ni Contradiction.
 
Kanisa Katoliki lina utaratibu wake.

Kama ni kweli tutayaona kanisani yakifanyika na si vinginevyo.
Ukithibitisha kauli hiyo kaitoa Yeye,

Kimbia kama vile umeona bomu nyumbani mwako lisiloripuka Bado,
Kusubiri uyaone kwenye parokia Yako, utakuwa sawa tu na waumini wa Zumaridi!!
 
Kubariki couples ndio kubariki ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…