mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
umekosea,sio KUTOFAUTIANA NI KUTIFUANA HAJA KUBWA ndugu mjumbeKwani wameanza kutofautiana leo?
Baada ya WArumi/Roan kummua Yesu , na baadae kanisa kuleta sanamu si Wapo waliokataa kuabusu sanamu na ndio hawa walokole wa siku hizi?
Siku ya Saba ni kumbukumbu ya Kuumbwa Kwa Ulimwengu,Kuabudu siku ni torati, iwe jumamosi jumapili ama ijumaa issue ni kumuabudu Mungu, mamo ya kusisitiza siku kuliko kumsisitiza mungu nayo ni ibada ya sanamu.
Wokovu ni Nini , isipokuwa upumbavu TuWokovu ndio mpango mzima.
Anajua kila kitu,He has the will and power to interfere in everything, but he can't interfere in everything.
Sometimes kumjua mungu inahitaji hekima mdogo angu, sio kila kitu utumie common logic, think outside the box, mungu ana interfere sana kweny mambo yetu lakini hatumpi credit(kama wewe na ideology yako ya "Mungu Mantiki) ila asipo interfere tunaanza kumkejeli.
Gen Z wanasemaga "Let him Cook"
Hapo ni ruksaa watu wafunge ndoa, jamaniii Pope Francis alichelewa wapiiii? Huyu ndo anafaa awe wa milelee.Umemlisha maneno, kasema wanaweza kubarikiwa hata kama anajihusisha na mahusiano ya jinsia moja ni kama kusema unabariki walevi, wasengenyaji, wezi maana ni baraka tu ila sio kwamba kuna tukio rasmi la kubariki ndoa.
This is fake news sijui Jamiicheck imelala
kumbukumbu si issue, tunangalia Yesu aliye juu, hiyo kumbukumbu hakufikishi mbinguni.Siku ya Saba ni kumbukumbu ya Kuumbwa Kwa Ulimwengu,
Hivyo kamwe hiyo Si IBADA ya sanamu.
Na hata jumuia usipoenda, who cares?Mimi kanisani basi tn tuishie jumuiya au tukache kabisa
Wokovu ni ukombozi kutokana na hatari au mateso. Kuokoa ni kukomboa au kulinda. Neno hubeba wazo la ushindi, afya, au kuhifadhi. Wakati mwingine, Biblia inatumia maneno kuokolewa au wokovu kwa kutaja muda, ukombozi wa kimwili, kama vile ukombozi waPaulo kutoka gerezani (Wafilipi 1:19)Wokovu ni Nini , isipokuwa upumbavu Tu
Kumbe tayari kuna binadamu wanakamatia wowo kwa bed usiku kucha?achumbiwe mara ngapi
sasa hapo dini inahusika vipi?aliyeruhusu ni dini AU MTU ANAYEJIITA PAPPPATukisema kwamba Dini ni utapeli muwe mna elewa.
Sio kukaza mafuvu kama wajinga wajinga.
Na mtasema.
Ona uyu tnNa hata jumuia usipoenda, who cares?
Mbna unajipa umuhimu na venye hamna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa wapenzi wa jinsia moja wakikutana wanafanya nini?Uamuzi mzuri sana huu, wapenzi wa jinsia Moja wana haki ya kupendana na kuishi kwa uhuru
Neno la Mungu halijabadilika,kumbukumbu si issue, tunangalia Yesu aliye juu, hiyo kumbukumbu hakufikishi mbinguni.
Ila wazinzi, wezi, majambazi ndo wakatolikii wa kweli? Poleeee wee.Hayo ya wakatoliki sie wakristo wengine inatuhusu nini? Katoliki kuruhusu ushenzi huo haituhusu wale ni mashetani na biblia inawajua. Watakimbiwa na waumini sooni watabaki na mashoga/wasagaji wao wajisalie wenyewe huko. Uasi umezidi sana
Mnatutakaga wenye makalio makubwa ya nini kama mnajua ufirauni ni dhambi?'Nyimbo za bongo flava zote ni ushoga na mnawashangilia.Anajua kila kitu,
Kama hana mpango wa kuingilia kitu anajua, na anajua matokeo yake. Si lazima ajue kila kitu?
Siwakosoi kwasababu mnachukia ushoga, nawakosoa mnavomlaumu huyo mzee utafikiri kanisa ni la huyo mzee
Ongeeni na Yahweh vizuri awaambie
Bora sisi tunajua ushoga ni kitu kibaya, ila sio kutokana na Mungu.
Sema katoliki wanafanya biashara huu upuuzi huwezi kuukuta kwa waislamuDini biashara
Kwendraaaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ona uyu tn
hawezi kuruhusu hivi hivi.hao jamaa wanakatazana wasioe wala kupiga nyeto,mwisho wa siku nyege zinahamia nyuma.hapo ndipo utata unapoibukaKumbe tayari kuna binadamu wanakamatia wowo kwa bed usiku kucha?
Mbio nyengeIla wazinzi, wezi, majambazi ndo wakatolikii wa kweli? Poleeee wee.
Tena mtokee harakaa sanaa, mfyuuuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]