Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukatoliki sio Ukristo.Uislam 🚮
Ukristo 🚮
Sisi hatuna utamaduni huo, huo ni utamaduni wa wazungu na huyo papa.Maamuzi sahihi kabisa, wapenzi wa jinsia Moja ni binadamu kama wengine. Wanastahili kuishi kwa uhuru.
Kubarikiwa ni kama kuombewa tu, papa kasisitiza kanisa ni kwa ajili ya wenye dhambi wanaokuja kutakaswa so hawafukuzwi bali wanabadilishwa.Onyesha ni wapi wezi wana barikiwa kuwa wezi au walevi wana barikiwa kwa ulevi wao
bro ukweli mchungu unamezwa kwa fundo la konyagi! Ukitaka kuumeza bila chakusukumia utakuniga...tafuta kwanza kimiminika hicho then tuendelee na storyHivi nyie mbilimbi kwann mnaandika uongo wa kipumbavu?
Ni nani aliyewaroga?
Siwezi kuelewa.sababu HAKUNA DINI YOYOTE ILIYOKUJA KUFUNDISHA KUFANYA HUO MCHEZO.sio uislam wala ukristo.Nadhani ume elewa ila unataka ubishi usio na tija.
Laana inawasumbua wakristo feki waliopo leo duniani wanachuja mbu na kumeza ngamia ....ndiyo maana ya haya maandiko "chukizo la uhalibifu lililo simama patakatifu"Vipi kuoa kwa mapadre na masista kuolewa? Si nidhambi ama?
Vipi ndoa ya mke zaidi ya mmoja bado ni dhambi?
Mwanadamu anakuwa na utasi ukishaukosa wewe sio binadamuMaamuzi sahihi kabisa, wapenzi wa jinsia Moja ni binadamu kama wengine. Wanastahili kuishi kwa uhuru.
Ukisikia mtu yoyote yupo kwenye madhehebu yoyote ya dini ujue huyo ni mpumbavu hata kama ni wewe au baba yako au mama yako mzazi ....ni mpumbavu na mafiii ya bata kabisa huyo mtu.usenge ulio pitiliza japo siwezi kumlau huyo papa kwa sabab hizi dini ni tamadumi zao Hawa wanajali Zaid jumuiya za uko ulaya na America hawajali chochote kuhusu wa Africa wala Latin America japo sisi ndio tumekumbatia hizi dini zao
am very ashamed to be RcView attachment 2846573
Unadanganya kaka, wapenzi wa jinsia moja wapo tangu hata wazungu hawajaja afrika, na wataendelea kuwepo, ndo maana kila nchi hata zenye misimamo mikali ya kidini wapo. Wapenzi wa jinsia moja wanazaliwa ivyo walivyo, ndo maana sioni sababu ya kuwabaguaSisi hatuna utamaduni huo, huo ni utamaduni wa wazungu na huyo papa.