Wivu tu
Member
- Nov 9, 2023
- 21
- 37
Kwenye maisha sometimes inabidi uamiliwe chakufanya kUna uhakka binadamu ameumbwa na mungu? Kama una uhakka kwann unataka Iman Yako imuamulie mwngne Cha kufanya. Je kama ye hamuamini uyo mungu wako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye maisha sometimes inabidi uamiliwe chakufanya kUna uhakka binadamu ameumbwa na mungu? Kama una uhakka kwann unataka Iman Yako imuamulie mwngne Cha kufanya. Je kama ye hamuamini uyo mungu wako?
Kwamba kuna mwanaume amezaliwa kumuingilia mwanaume mwenzake?Kweli kaka msiwachukie kisa dini, ndo wamezaliwa ivyo
Ndio wamezaliwa Ivo, sio kwamba wanapenda kuwa ivyo . Hata we unaweza ukamzaa wa ivyoKwamba kuna mwanaume amezaliwa kumuingilia mwanaume mwenzake?
NithibitishieNdio naweza
Kwa vitu ambavyo vinaathiri wengine, lakini mtu akiwa mpenzi wa jinsia moja we unaathirika vipi?Kwenye maisha sometimes inabidi uamiliwe chakufanya k
Kwa hiyo wanahalalisha iliyolaamiwa?!Imelaaniwa
Kwamba amezaliwa mwanaume anayetamani KUWAINGILIA wanaume wenzake?Ndio wamezaliwa Ivo, sio kwamba wanapenda kuwa ivyo . Hata we unaweza ukamzaa wa ivyo
Ndo iko ivyo kaka, na wataendelea kuzaliwa ivyo... Haina haja ya kuwachukia sababu ye akifanya Ivo hakuna effect yyte wew ambae hufanyi utaipataKwamba amezaliwa mwanaume anayetamani KUWAINGILIA wanaume wenzake?
Yaani basha, havutiwi na wanawake ila anavutiwa na wanaume tu?
Kwamba amezaliwa mwanaume anayetamani KUWAINGILIA wanaume wenzake?
Yaani basha, havutiwi na wanawake ila anavutiwa na wanaume tu?
Hapana, ila wew mpenzi wa jinsia moja akifanywa wew binafs inakuafect vipi
Kwa sababu ni maamuzi Yao, kwani wapenzi wa jinsia moja wakiyafanya we inakupunguzia niniWe mpbavu sasa kama wewe hufanyi kwanini utake wengine wafanye?
Pakizaliwa shoga kwenye familia inatakiwa aondoshwe mara tu itakapobainika kuwa ni shoga,hakuna namna nyingineKwa sababu ni maamuzi Yao, kwani wapenzi wa jinsia moja wakiyafanya we inakupunguzia nini
Waislamu ndo washenzi na wauaji wakubwa yaani takwimu za mauaji zinazofanywa na waislamu ni kubwa kuliko vifo vinavyotokana na ugonjwa wowote uleUsiuingize Uislam katika ujinga na ushetani wenu.
Hakuna sehemu nimesema ukristu ni "dini" hata mawazo yako ni muhimu kwako wewe mwenyewe kaa nayoUkristo sio dini mkuu na hauna hizo sifa ulizotaja hapo.
We ni mmoja wao?Maamuzi sahihi kabisa, wapenzi wa jinsia Moja ni binadamu kama wengine. Wanastahili kuishi kwa uhuru.
OhooooKwani dhambi ni ndoa za jinsia moja pekee? dhambi zote zipo sawa mbele za MUNGU, Papa yupo sahihi
Hata mumeo ni miongoniOhoooo
Kumbe na wewe ni miongoni mwa ma.....
Endeleeni kujidanganya, ninyi na hivyo vyombo ndiyo mnaosherehesha hiyo taarifa kwa kuwa kiuhalisia mnayaunga mkono matukio hayo.Hiki ni chombo Cha habari Cha Vatican mkuu,
View attachment 2847123
Na waraka wa kuruhusu huu usodoma unaletwa makanisani kupitia Kwa makadinali Dunia nzima mda si mrefu utasomwa kama ule wa DP world🤣🤣🤣