Kidini uzinzi ni dhambi na ni uhalifu pia ukija kisiasa uzinzi sio uhalifu wala sio dhambi,.
Kidini ushoga ni dhambi na uhalifu, kisiasa inategemea na Jamii husika si dhambi wala uhalifu.

Hii line hapa kutoka main post wewe umeielewaje?na nimeandika ktk post uliyoni-quote nayo kwamba mazingira ya Tanzania Maaskofu wanaweza kuharamisha ushoga kwa sababu ya Tanzania kwanza kama taifa katiba haiutambui pia utamaduni wetu hauruhusu huo ujinga but Maaskofu pale America taifa linaloutambua ushoga hadi kwenye katiba yao hawawezi kusema hivi kwa sababu taifa na wananchi wake wanautambua ushoga na pia kusema hivi moja kwa moja watakuwa wamewafukuza Kanisani so waachwe waingie kuchangamana na wenzao wadhambi wenzao kama wazinzi wezi nk ili kila mmoja atubie dhambi zake.
 
Bila shaka mtaelewa ni kwanini dhehebu lile la Kikristo linapingana vikali sana na dhehebu la Wakatoliki.

Macho wanayo lakini hawaoni, masikio wanayo lakini hawasikii kisa "nimezaliwa katika dhehebu flani" dhehebu la nyoko [emoji35]
 
Nachokiona hapa ni baadhi ya Wakatoliki kufa na Papa wao kwa hoja za kupindishapindisha ili kuhalalisha uozo alionena,,,,

Leo baadhi ya Wakatoliki wanatuuliza kwamba na siye wengine si tunatenda dhambi???Kwamba miye nayechepuka na mke wa watu na Mkatoliki anayepigwa mtarimbo kwa kuwa ni shoga eti wote tunatenda dhambi 🤣🤣🤣

Sasa wewe Mkatoliki unayeunga mkono haya maneno ya Papa je unakubali mwanao wa Kiume awe shoga na aolewe kwakuwa ni dhambi ya uzinzi kama dhambi zingine???
 
Wakaedit Basi na maandiko yanayokemea ushoga na usagaji kwny biblia tuelewe Moja[emoji3525]
Tangu lini kanisa linafuata biblia...? Kanisa na biblia ni vitu mbali kabisa...japo wanazugia kuifuata ila imewashinda kitaaambo...ndio maana wameamua kuishi kwa kuangalia watu wanataka nini...ndio sheria ya Mungu...
 
Bora hata wewe unakemea kuliko Wapumbavu wengine ilihali wewe uko ktk ukatoliki...[emoji2960]
 
Kwenye amri 10 za Mungu kuna katazo la uzinzi wapi kwenye hizo amri kuna katazo la ushoga?
Jibu ni kua Uzinzi na Ushoga umeingia kwenye category moja, kama wewe ni mzinzi huna tofauti na shoga sababu nyote mnafanya zinaa na zinaa ni uchafu.
Ushoga ni uchafu wa kizombi, hatari sana kupitiliza, aliekamatwa ni kama zombi haachi labda atolewe pepo la ushoga. Ukikaa nae karibu atakuzombi nawe utaingia huko kama sio wewe mwanao. Hawa mazombi wana nguvu flani ya kishetani ya kuvutia kwao. Chunguza mashoga huko mtaani utakuta anapata umaarufu flani na wale wanawake wsrembo wenye mvuto huambatana nae ili kusaidia kuvuta watu waingie kwenye ozombi. Ni hatari kuukaribisha kanisani!
 
NI ILE TUNAITAGA UKOSEFU WA AKILI YA MAAMUZI...HAIJALISHI NI UOVU AU WEMA...WAO WANAFUATA TU KAMA UPEPO NA BENDERA...
 
Yeye hayo mamlaka ya kusema sio uhalifu amepewa na nani hali ya kuwa sheria za nchi zinatofautiana?
Tz kutembea na mke wa mtu sio uharifu lakini Saudia , Qtaar ,Iran ni uhalifu na ukifanya utaenda jela.

Hivyo hivyo ushoga ni halali kwenye nchi fulani na ni uharifu kwenye nchi nyingine sasa hayo mamlaka kuisemea dunia nzima ameyatoa wapi?
 
Kwenye macho ya Mungu wote nyinyi ni wachafu wafanya zinaa,
Shoga na wewe mtembea na mke wa mtu tena wewe hukumu yako ilikua upigwe mawe hadi ufe,
Wazinzi msijitete
 
Kanisa linahalalisha Watu wawe wanapakuana vinyesi Me kwa Me/Me kwa Ke, inamaana vyoo havina haja tena ya kupokea vinyesi zaidi ya kutapakaa tu vyumbani mwetu?

Bladfakeni masokotoronto!
Ni hatari yaani wamekaribisha mazombi ya kishoga kanisani bila kujua hii kitu inaambukiza vibaya..Sipati picha pale zombi linapoingia kanisani mwishoe likapata ekalist
 
True pia ushoga huwa hautaji Ili kuepuka hio spirit isivamie generation yako.
Pana ex shoga maarufu KWA macheni miaka ya 90 alikuwa ni kiongozi mkuu wa mashoga nchini hakuna nchini asiyemjua,keshawahi bakwa keshawahi olewa mara mbili.
Alipoondolewa ile roho chafu akajiona tofauti kabisa amekuwa kiumbe kipya hata ushoga hakuutamani tena akajutia matendo yake.
Leo ni mtumishi wa Mungu ameoa ana mke mzuri na watoto wawili wa kiume.
Kiroho alirudi nyuma kumbe alitupiwa Roho ya ushoga alipokuwa mtoto wa miaka 6.
Ilikuwa umwambii kitu kuhusu ushoga.
Pana shoga mmoja telegram nilimwambia ipo namna naweza kukusaidia ukaacha ushoga, alinitukana Sana akasema kawatafute wengine yeye hawezi Acha huo utamu.
Mtafute youtube KWA jina la anti Asu. Pia aliimbwa na muimbaji wa taarabu Abdul Misambano wimbo maarufu Sana miaka ya tisini wa unaitwa Nihurumie Asu wangu. asu ungekuwa nguo ningekuazima.
Ushoga sio asili bali ni tabia.
 
Uhalifu ni nini?
Tuanzie hapa kwanza
 
The worst part of it is that there is no turning back now!.We're done.!They have taken over.Mission completed.
 
Zombi ni nini?
 
Wewe kuna Mtu alishakwambia uwe shoga? [emoji15]
 
ushoga=zombi
Kitabia na kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…