The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Kidini uzinzi ni dhambi na ni uhalifu pia ukija kisiasa uzinzi sio uhalifu wala sio dhambi,.
Kidini ushoga ni dhambi na uhalifu, kisiasa inategemea na Jamii husika si dhambi wala uhalifu.
Hii line hapa kutoka main post wewe umeielewaje?na nimeandika ktk post uliyoni-quote nayo kwamba mazingira ya Tanzania Maaskofu wanaweza kuharamisha ushoga kwa sababu ya Tanzania kwanza kama taifa katiba haiutambui pia utamaduni wetu hauruhusu huo ujinga but Maaskofu pale America taifa linaloutambua ushoga hadi kwenye katiba yao hawawezi kusema hivi kwa sababu taifa na wananchi wake wanautambua ushoga na pia kusema hivi moja kwa moja watakuwa wamewafukuza Kanisani so waachwe waingie kuchangamana na wenzao wadhambi wenzao kama wazinzi wezi nk ili kila mmoja atubie dhambi zake.