Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
Mbona kama umebadili mada?
Kwa hiyo hapo tena unamlaumu mtoto kua alilawitiwa hakuripoti huo ndio uhalifu wake??
Bado tena wasema Mashoga wana roho za Ushoga wakati umesema kuna Watu wanalawiti Watoto wadogo hadi wanakua Mashoga,

Tushike lipi hapo ewe Che Mittoga?

Ps; ni Lucifer sio Rusifer
Shika Ushoga ni Uhalifu namba 1

Kuna ajenda ya kuwafanya wanaume wawe mashoga.

Huu ni uhalifu namba 1.
Na ni Dhambi
 
Usipomtenga mdhambi ataachaje dhambi sasa.
Lazima atengwe Ili ajutie dhambi zake aone aibu afanye toba arudi kundini.
Thus mchawi ufukuzwa kijijini akiacha uchawi uruhusiwa kurejea.
Wewe mbona mfiraji na haujatengwa?
 
Huwa sichangii topics ambazo watu hutumia hisia zaidi kuliko akili Ila nitajibu kwa huu upotoshaji unaofanywa na hii thread

Papa hajasema ushoga sio dhambi na hana mamlaka hiyo ya kuihalalisha dhambi maana ukisema anayo bhasi utaamini papa yupo juu ya mamlaka ya Mungu, kitu ambacho si kweli

Ila kitu alichomaanisha
"Kila uhalifu ni dhambi Ila si kila dhambi ni uhalifu"

Ndio maana hata wewe upo huru kuisaliti ndoa yako utakavyo pasipo dini kusema upigwe mawe kwa sababu si uhalifu

Kingine Mungu aliiteketeza sodoma na Gomorah kwa sababu ya homosexuality lakini gharika ya Mungu iliteketeza kila mtu. hata Yona alitumwa kuwahubiria watu wa ninawi kuwa hasira ya Mungu ipo juu yao na mji ungeteketezwa
Hivyo, utaona kuwa HASIRA YA MUNGU IPO KATIKA KILA UHARIBIFU NA UCHAFU TUNAOUFANYA

Na kama haitoshi, biblia ikaainisha wazi kuwa ni dhambi gani isiyosameheka

M A R K O 3:28-29 “Amin, nawaambia, Dhambi zote watasamehewa wanadamu, na kufuru zao watakazokufuru zote; bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele; ila atakuwa ana dhambi ya milele”.


Hivyo, wewe mzinzi, mlevi, msengenyaji, mwizi na kila aina ya dhambi, HASIRA YA MUNGU IPO JUU YETU SOTE lakini Mungu kwa rehema zake, wote ni wake na tunastahili msamaha wake tukijinyenyekeza na kufanya toba

Hivyo,kwa kauli hii, papa hajakosea 🙏🏽🙏🏽
Kwa unakubali kusali na mashoga pamoja? Wakiwa wamevaa nguo za kike huku wanaume
 
Sijui anacho bisha nini,jengo lipo nyuma pale ya ifm hakuna sehemu wameweka ni kanissoy
Boss unajua kiukweli % kubwa ya vijana huwa hatuwezi kufanya uchakataji taarifa. Mimi jamaa nashangaa ananiambia kuna kanisa LA FREEMASON na anakazana kabisa. Ni kutojua tu tumsamehe
 
Halafu kwenye midaharo au hoja jaribu kuifanya akili YAKO iwe flexible na openness. Kwenye midaharo au hoja kama hizi huwa watu wanajifunza ILA kama utaendelea kukaza kichwa utajifunza zaidi. Lilikuwa ni swala la kusema tu nimekosea nilimanisha freemason HALL
Upo sahihi Queen Virgo,
Kuna Watu hawajui umuhimu wa Midahalo kama ni kujifunza na kuongeza vitu vipya bali wao hudhani ni kwa ajili ya mabishano na vita.
 
Papa hajataka kuhukumu. Na neno lake sio sheria maana na yeye ni binadamu sio Mungu. Yeye ni kiongozi wa kanisa lakini sio mwanzilishi wa kanisa. Kanisa limejengwa na Yesu Kristo mwenyewe sio na Papa
Wakati yeye ndiye baba mtakatifu hana dhambi
 
Upo sahihi Queen Virgo,
Kuna Watu hawajui umuhimu wa Midahalo kama ni kujifunza na kuongeza vitu vipya bali wao hudhani ni kwa ajili ya mabishano na vita.
sasa angalia hiyo statement aliyoandika kwamba ushawahi kuwauliza wana kanisa? Hivi nitakuwa na akili kwenda kuuliza sehemu imeandikwa freemason HALL kwamba mna kanisa embu nisaidie kwenye hili au mimi uelewa wangu finyu?
 
Thank you,
Tena umefanya vizuri kumtolea mfano yeye mwenyewe sababu kutwa anatuletea visa vya michepuko na watu wanachangia kwa furaha bila kuhukumu hali ya kua ni uzinzi na uzinzi umekatazwa kwenya hayo hayo maandiko yaliyokataza homosexuality, tunaona kuna mada tele za pombe na watu wanachangia kwa kupeana viwanja vya kupombeka hali ya kua Pombe imekatazwa kwenye hivyo hivyo vitabu vilivyokataza homosexuality,

Papa yupo sahihi, kama ambavyo watu wazima Me na Ke wameamua kwa hiari yao kuzini wakijua wanatenda dhambi na hukumu wataikuta kwa Mungu wao basi hivyo hivyo kwa homosexuality wanajua wakifanyacho ni dhambi na hukumu wataikuta kwa Mungu wao, iweje hao walevi, wazinzi, wasengenyaji, watoa mimba, wanyanyasa yatima na wajane, n.k wajipe ukuu wa kuwahukumu homosexuality hali ya kua wao hawajahukumiwa?

Sisi wote ni wa Mwenyeezi Mungu na kwake tutarejea tutake tusitake.
Kwa hiyo wanaruhusiwa kuingia kanisani na kusali
 
Duuh sipati picha ushoga uruhusiwe, kudadeki ntaanza kutembea na mafyekeo mfukoni, dume lenzangu lije linitongoze nafyekelea mbali pumbaf na nusu *****
Sura yenyewe huna, mvuto huna. Uso una makunyanzi mixer KIPARA kama cha mkapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nani akutongoze bhana wewe!
 
4 Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.

5 Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?

6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

7 Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.

8 Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

9 Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.

10 Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?

11 Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.]
Kwenda zako huko, yaani unawatetea mashoga
 
Back
Top Bottom