Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
Jidunge ndoba [emoji38][emoji38][emoji12]
IMG_20230216_203519.jpg
 
Mbona kimya sana , tuwaeleweje ?.

Je ndo nanyie mnakubaliana na Kiongozi wenu (Pope ) kuhusu USHOGA?.


Catholic Tanzania, huo Ukimya unamaana gan?.
 
Reflection ya vatican ndio reflection ya kanisa katoliki duniani kote. Ushoga hauungwi mkono na vatikani isipokuwa mama kanisa anamchukulia shoga kama kondoo aliyepotea ambae anastahili kutafutwa, kusamehewa na kurudishwa zizini, sio kumchinja na kumla nyama.
 
Reflection ya vatican ndio reflection ya kanisa katoliki duniani kote. Ushoga hauungwi mkono na vatikani isipokuwa mama kanisa anamchukulia shoga kama kondoo aliyepotea ambae anastahili kutafutwa, kusamehewa na kurudishwa zizini, sio kumchinja na kumla nyama.
Aaah akiwa ziaran Kongo, Pope tulimsikia kama alivyosema.


Je Ile ndo staili ya kumtafuta kondoo na kumrejesha ???.
 
Naogopa sana nguvu inayotumika kuhamasisha ushoga huko nchi za magharibi. Naogopa zaidi kuona nchi nyingi za kiafrika ikiwemo Tanzania zikiwa kimya juu ya jambo hili.

Naogopa zaidi na zaidi kuona makanisa nayo yameunga mkono mwanaume kupigwa mashine. Jamani kweli unasema sawa kidume kupigwa mjegeje?! Inasikitisha sana.

Asanteni kanisa la Anglikana Tanzania tumeona msimamo dhabiti. Lakini najiuliza haya makanisa yanayounga mkono uchoko, yanatumia mistari ipi ya biblia?
 
Tunaanza kazi, huu bora ukaunganishwe na ule wa Papa Francis,

Moderator

Cookie
Huu au?
 
Sio KILA kanisa ni Kristo hata shetani anayo makanisa yake.
Kanisa la Yesu Kristo halifungamani na mbwa
 
We jamaa unataka serikali itoe tamko lipi na Kwa manufaa ya nani? Wewe hapo ulipo unataka uambie Nini kuhusu hilo suala? Acheni ujinga kutwa ushoga.
 
Wezi na wazinzi mnaowakaribisha kwenye nyumba zenu za ibada mnatumia vifungu vipi kuwakaribisha??
Wezi wanakaribishwa kutubu na mahubiri ya kukemea uzinzi yapo kila leo. Yako wapi mahubiri ya kuunga mkono uzinzi na wizi?
 
View attachment 2537218
Labda unafirwa wewe. Kuhamasishwa sio mpaka mtu apite nyumba kwa nyumba

Kwa uzoefu wangu huo uchafu ufanywa zaidi na watu wa karba yako. Mtu unena kile kiujazacho moyo wake.
Na kanisa limeamua kuwakingieni kifua ili mashoga msiuawe.
Yesu hakuwai kulipa kanisa jukumu la kuua wadhambi (wafirwaji na wafirwaji wa karba) hukumu ni juu yake na hiki ndicho kanisa limekishikiria hadi leo.
Nb:-
Mimi sijasitushwa na habari ya ushoga, nimeshitushwa na habari ya kanisa kuhamasisha ushoga bahati mbaya umeleta madai ya uwongo huna ushahidi na dai lako.
 
Back
Top Bottom