Mkuu kauli nyingi za huyu PhD holder wa Kermikali na Papa zao la Kijesuiti ni za kitata sana

 
Kwenye kauli ya Papa Francis juu ya ushoga aliegemea na mara nyingi hukazia kuwa ushoga si uhalifu/ jinai lakini hafafanui au kuonya kwa kina juu ya hii dhambi. Alipaswa kama mtumishi wa Mungu akazie pia ubaya wa hii dhambi badala ya kugeuka kuwa mtetezi wa haki za binadamu zaidi.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo mtu akimuibia begi la shule Mtoto wako au akimlawiti haya madhambi yana uzito sawa kwa mujibu wa maelezo yako?

Tumepewa akili ili tuzitumie kufasiri mafundisho sio kukariri na kupotosha
 
Kwa kifupi msimamo wa Papa Ushoga ni dhambi lakini sio jinai. Wakatoliki wa Tanzania wanataka ushoga uendele kubaki jinai ikiwezekana jinai ya hukumu ya kifo!
Kwa maelezo hayo basi Museveni amekengeuka na kwny mabadiliko ya Katiba Mpya tufute kipengele kinachosema ulawiti ni jinai
 
Achana na wanaosali kwenye makanisa ya mabati mkuu....hiyo inaeleweka!!
 
Kwa nafasi yake ilimpasa kusema ushoga ni dhambi na uhalifu mbele xa Mungu.
 
Summarily, tendo linakuwa;
  • Dhambi kwa kurejea mafundisho ya Mungu
  • Jinai kwa kurejea sheria za nchi

Papa yupo 1000% correct.
 
Dhambi zote hazipo sawa kutegemea na:
  • Dhamira/nia (intent)
  • Madhara (gravity)
  • Uelewa (Knowledge)

Ndiyo maana Mama Kanisa anafundisha kuna dhambi:
  • Kubwa (Mortal)
  • Ndogo (Venial)

Ninajivunia Ukatoliki. 💪
 
Kosa ni dhidi ya sheria.

Dhambi ni dhini ya Mungu

Sheria za nchi nyingi zinaruhusu hivyo siyo kosa.
Sheria za kanisa haziruhusu hivyo ni dhambi.

Kwani hamna akili kiasi hiki?
 

Attachments

  • VID-20230325-WA0008.mp4
    2.3 MB
Tuanze na hii. Hapa Bongo mlishawahi kusikia mtu amepelekwa mahakamani kwa kosa la kuwa shoga?
Niliwahi kusoma kwenye gazeti polisi wamemkamata mtu alikuwa analawitiwa vichakani Basha akakimbia shoga akabaki na akafikishwa mahakamani
 
Niliwahi kusoma kwenye gazeti polisi wamemkamata mtu alikuwa analawitiwa vichakani Basha akakimbia shoga akabaki na akafikishwa mahakamani
Makonda alijaribu operesheni ya kuwakamata, lakini kuna kitu kilikosekana, either nguvu ya kisheria au nia ya kuwaadhibu. Nimesikia juzi juzi jamaa wa CCM akimshambulia Lema, akasema sheria ipo, lakini mimi binafsi sijawahi kusikia mtu amefungwa jela hapa Bongo kwa sababu ya kujihusisha na ushoga
 
Hata huyo mzee shoga mapadiri wengi wa ulaya marekani kazi yao ndio hiyo kibaya zaidi wanaalibu watoto wa watu wa kiume
 
Kiongozi wa kanisa katoliki Duniani Papa Francis amekemea sheria zote zinazopinga ushoga na kusema hizo sheria sio za haki kwani Mungu anawapenda watu wake wote bila ubaguzi, bila kujali kama ni mashoga au lah.

Soma mwenyewe hapa.
Huyo mzee mwenyewe ndio kazi yake
 
Katika nchi nyingi ushoga n uhalifu na ni dhambi pia kwa mungu yeye anaposema sio uhalifu anakosea na anakosoa nchi zinazopinga ushoga yaan hizo nchi zitakua zinapingana na msimamo wabkanisa pili anaposema mashoga ambao n watenda dhambi wasidharauliwe kwa maana nao wapo sawa na ss ni kuifanya dhamb hii kuwa ya kawaida
Nna mwalimu wangu alinifundisha katika com skills unapaswa usikilize yanayosemwa kwa wingi yanayosemwa kwa uchache na yale ambayo hayajasemwa yote uyasikilize
 
Andiko boraa kabisaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…