Huwezi kumuelewa papa kwa kuna hasemi maneno ya kukufurahishaa wee.
 
Summarily:
  • Tendo linakuwa dhambi ama si dhambi kwa kuangalia (refer) mafundisho ya Mungu
  • Tendo linakuwa jinai kwa kuangalia mtazamo wa kisheria wa jamii (nchi) husika

Papa yupo 1000% correct.
Haswaaaaaaaah!!!!
 
Mambo ya Mungu ni magumu sana kuyaelewa. Kwa Mimi ambaye ni Mkatoliki nimemuelewa papa. Kazi yake ni kuwahubiria watu juu ya upendo wa Mungu Kwamba matendo yao wanayoyafanya ni chukizo mbele za Mungu(dhambi) hivyo wanapaswa kuhubiria neno la Mungu Ili wabadilike na neno la Mungu linahubiriwa kanisani. Hakuna Mahali aliposema anaunga mkono ushoga. Kanisa katoliki na la wote watakatifu na wenye dhambi na lipo popote (Catholico).
 
Pope yupo under control ya Mnyama ni lazima atii maagizo ya mnyama asipotii anauwawa, so ni lazima asapoti kile mnyama. mnyama ni nani ni ile nguvu inayoutawalaa ulimwengu, ndio hio inayo leta matukio mfano wimbo wa ugaidi, corona, sijui ushoga, nk.
 
Tatizo ni uelewa wako wa hiyo falsafa ila ukiisoma vizuri utaelewa alichomaanisha na msimamo wa kanisa analoliongoza. Kanisa limebaki na msimamo wake hata pale vyombo vya sheria vya nchi za kimagharibi kuondoa zile sheria dhidi ya ushoga kama kosa na jinai!
 
Comprehension majanga. Watanzania wengi hatuna uwezo wa ku read between the lines.
 
Kila kitu inajirudia shida wewe ni unahisia na nani maana haijifichi ndio maana sodoma na gomora walichomwa
 
Kwani anaeamua Hilo ni kosa na hili sio kosa ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…