Watu wanazini tangu kuumbwa kwa Dunia ,,makahaba wapo kabla ya Yesu ,,sawa NI dhambi Ila ,,Mungu hakuuvumilia UFIRAJI NDO MAANA ALICHOMA SODOMA NA GOMORAUzinzi ni dhambi kubwa sawa na ushoga nashangaa watu wanafanya Uzinzi then wanaona sio dhambi hizi nchi za Dunia ya tatu zina wajinga wengi ktk Mambo ya dini.
Nadahani alitakiwa kubaki na msimamo huo ila kuseam kwamba ushoga sio kosa ila ni dhambi imekaa mora secular kuliko kidini huku yeye akiwa ni kiongozi wa dini.....Za Mungu, na hajasema tuvunje sheria za Mungu. Bali ameeleza tu kilichopo, kwamba kwa nchi ambazo hazijaharamisha ushoga, si uhalifu.
Unajua kwanini Yesu alimuosha miguu na kumpaka mafuta kahaba malaya?Nadahani alitakiwa kubaki na msimamo huo ila kuseam kwamba ushoga sio kosa ila ni dhambi imekaa mora secular kuliko kidini huku yeye akiwa ni kiongozi wa dini.....
Mpaka kuruhusu wabatizwe alifika mbali ubatizo una maana kubwa kwa wakristo na ndio utambulisho sasa yeye anaparuhusu ni sawa na kuruhusu vitu vya kimungu kchangamana na visivyo vya kimungu bora hata angeruhusu wa jumuike kwenye ibada tu...
Watu wa Mungu ni kama boti na maji.Unajua kwanini Yesu alimuosha miguu na kumpaka mafuta kahaba malaya?
Papa umemuelewaa wee? Na sio kila nchi ushoga ni uhalifu.Sasa kama nchi imeamua ushoga ni uhalifu papa anakataaje?
Na mbona ushoga umerudi tena, akati ulichomwa wote na masalia yake.Watu wanazini tangu kuumbwa kwa Dunia ,,makahaba wapo kabla ya Yesu ,,sawa NI dhambi Ila ,,Mungu hakuuvumilia UFIRAJI NDO MAANA ALICHOMA SODOMA NA GOMORA
Kila zama na mitume wake.Na mbona ushoga umerudi tena, akati ulichomwa wote na masalia yake.