Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
Tayari imesharipotiwa tukio la ndoa ya jinsia moja ndani ya kanisa katoliki mwaka jana 2022. Haya ni matunda ya kuwakumbatia mashoga, hawafukuzwi kanisani lakini hawapaswi kuonesha kuwasapoti hadi kufikia ndoa.
Na kauli kama hizi zinawafanya hao mashoga kuwa na nguvu na kuona ni haki yao kuishi hivyo( ni dhambi kama ulivyosema) dhambi haikumbatiwi inakemewa na kutokomezwa.
Tuwekee hiyo habari hapa tafadhali. Imefanyika wapi ? Tupe habari kamili tuisome
 
Uharifu Vs Dhambi
Amesema siyo uharifu ila ni dhambi.
Ni kipi kigumu kukielewa hapo? Pia huo umekua msimamo wa Kanisa miaka mingi kwamba wasitengwe bali wainyeshwe upendo ili wawwze kuyatambua makosa yao.

Maadam ni Wadhambi, Kanisa lina wajibu juu yao, na si kuwatenga. Lina wajubu wa kuwafundisha na kuwaelekeza ukweli.
Hii ya kutowatenga ili tuwaelimishe,hata wezi pia watataka hiki kipengele kiwepo ili wasiuwawe sasa.
 
Huwa sichangii topics ambazo watu hutumia hisia zaidi kuliko akili Ila nitajibu kwa huu upotoshaji unaofanywa na hii thread

Papa hajasema ushoga sio dhambi na hana mamlaka hiyo ya kuihalalisha dhambi maana ukisema anayo bhasi utaamini papa yupo juu ya mamlaka ya Mungu, kitu ambacho si kweli

Ila kitu alichomaanisha
"Kila uhalifu ni dhambi Ila si kila dhambi ni uhalifu"

Ndio maana hata wewe upo huru kuisaliti ndoa yako utakavyo pasipo dini kusema upigwe mawe kwa sababu si uhalifu

Kingine Mungu aliiteketeza sodoma na Gomorah kwa sababu ya homosexuality lakini gharika ya Mungu iliteketeza kila mtu. hata Yona alitumwa kuwahubiria watu wa ninawi kuwa hasira ya Mungu ipo juu yao na mji ungeteketezwa
Hivyo, utaona kuwa HASIRA YA MUNGU IPO KATIKA KILA UHARIBIFU NA UCHAFU TUNAOUFANYA

Na kama haitoshi, biblia ikaainisha wazi kuwa ni dhambi gani isiyosameheka

M A R K O 3:28-29 “Amin, nawaambia, Dhambi zote watasamehewa wanadamu, na kufuru zao watakazokufuru zote; bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele; ila atakuwa ana dhambi ya milele”.


Hivyo, wewe mzinzi, mlevi, msengenyaji, mwizi na kila aina ya dhambi, HASIRA YA MUNGU IPO JUU YETU SOTE lakini Mungu kwa rehema zake, wote ni wake na tunastahili msamaha wake tukijinyenyekeza na kufanya toba

Hivyo,kwa kauli hii, papa hajakosea 🙏🏽🙏🏽
Bro hii mada imeletwa na wanaharakati ili kuuponda ukristo!!!Kwani wewe wsnaharakati húwajui mitazamo yao kuhusu imani za watu wengine!!
 
Kiongozi wa kanisa katoliki Duniani Papa Francis amekemea sheria zote zinazopinga ushoga na kusema hizo sheria sio za haki kwani Mungu anawapenda watu wake wote bila ubaguzi, bila kujali kama ni mashoga au lah.

Soma mwenyewe hapa.

Kamandivyo kwanini sodoma na gomora akazichoma moto?, (Anyway sodoma na gomora ilikuwa ni volcano eruption)
 
Uzinzi ni dhambi kubwa sawa na ushoga nashangaa watu wanafanya Uzinzi then wanaona sio dhambi hizi nchi za Dunia ya tatu zina wajinga wengi ktk Mambo ya dini.
Point kubwa sana hii inalingana na Ile ya wazee wa kobazi mtu akila Nguruwe inakuwa kosa kubwa sana ila akizini anaonekana kama shababi.
 
Bora yeye kawa muwazi kuliko lile dhehebu ambalo kila alhamis wanasema ni halal wanawake kuliwa ndogo na pia kuruhusu wanaume kujiremba kwa kupaka hena kama wanawake sasa hapo hakuna tofauti na ushoga au huijui kaka hiyo dini?????!!!Bora papa kawa muwazi
Hao wenye ilo dhehebu nao wapigwe moto.ushoga ni ushoga tu akuna kuupaka mafuta.wote kibiriti.
 
Koku ushawahi kukaa pemba ambapo majority ni waislamu!!!!Kakae kwanza afu uandike hivyo!!!!Au maisha gani ya kawaida unayosema wewe???
Huko si ndo tabia yao kabisa. Unaambiwa ni rahisi sana kumkuta wadada bikra lakini marinda siku nyiiiingu.
Vijana ndo usiseme

Unajua haya mambo hufanywa sirini ndo maana tuna ujasiri wa kukemea sbb hakuna anayeweza kusoma siri zetu.


Lakini ushoga na ufirauni unafanywa na watu wote wa dini zote na madhehebu yotee tu.

Heri yao walioamua kwa moto wakajidhihirisha. Kuliko sisi tunaokemea humu lakini nafsi zetu zinatusuta ndani kwa ndani maana tuna fi.ra na tunalawiti


Papa ameongea uhalisia wa maisha ya watu kwa sasa. Ushoga na ufirauni ni dhambi kama dhambi nyingine.

Lakini jee? Ni nchi ngapi zina sheria ya kuhukumu watu wa kariba hiyooo.


Kila mtu kwa dini yake tulie sana na kumuomba Mungu. Otherwise we are doomed
 
Back
Top Bottom