Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
Kwani ugomvi? Kuna hofu gani iwapo wewe na familia yako hamuutaki ushoga?? Tunza familia na kizazi chako kiwe chenye kuukataa ushoga.
 
Pelekeni Ujinga wenu huko! Kila siku mnabadilisha statement yake, Alisema kuwa sio crime bali ni dhambi.Sidhani kama mtoa mada una akili timamu
Hii kaurudia jana mbele ya askofu mkuu wa anglikana mjini juba, anglikana walishakubali kusali na mashoga kama kawa

USSR
 
Mleta mada sidhani kama una akili timamu, Nadhani uchawa wa CCM umekushinda sasa umeamua kuhamia huku.Pope hajawahi kusema hivyo! Bali alisema sio uhalifu bali ni dhambi! Mnahangaika sana.
 
"Mapenzi ya jinsia moja si uhalifu,Bali ni dhambi" - Pope Francis

Sijaona mahali amehalalisha ushoga! Au Lugha ni ngumu kuielewa? Mnahangaika sana kupindisha maneno! Eti ameupiga mwingi kuunga mkono ushoga! Haujaona kwamba amesema "Ni dhambi"?
 
Kwa hiyo kama sio uharifu nije nikusugue tu

USSR
 
Hello Wadau.

Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia...
Kwa kusema wapenzi wa jinsia moja lazima wapokewe na kuheshimiwa, na hawapaswi kutengwa au kubaguliwa

Mbona Yanalingana na Mafundisho ya Yesu?!
[emoji116][emoji116]
Mark 2:17
[17]Yesu aliposikia aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi; sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi. Swali kuhusu Kufunga

Yesu Amefafanua kuhusu hilo!
[emoji116][emoji2534][emoji116][emoji2534]
Matthew 19:12
Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.

Yesu Ametuagiza!
[emoji116][emoji2534][emoji116][emoji2534]
Matthew 7:1-5
[1]Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

[2]Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.

[3]Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?

[4]Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?

[5Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako. Kutweza Kitakatifu

Paulo Mtume wa Yesu Anakazia!
[emoji116][emoji2534][emoji116][emoji2534]
1 Corinthians 4:1,3-5
[1]Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili wa siri za Mungu.

[3]Lakini, kwangu mimi, si kitu kabisa nihukumiwe na ninyi, wala kwa hukumu ya kibinadamu, wala sijihukumu hata nafsi yangu.

[4] Maana sijui sababu ya kujishitaki nafsi yangu, lakini sihesabiwi haki kwa ajili hiyo; ila anihukumuye mimi ni Bwana.

[5]Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake, hata ajapo Bwana; ambaye atayamulikisha yaliyositirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo kila mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.

Kwenye uisilamu Allah anasema wanaume wanaopumuliana wakitubu waacheni yeye ni wingi wa huruma na anasamehe!
[emoji116][emoji2534][emoji116][emoji2534]
وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا

(AN-NISAAI - 16)
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.

Hadi huku kwetu uswazi unaitwa mchezo wa kisilamu wanafumuana malinda![emoji2956][emoji2956][emoji2956]

Wewe mleta uzi ukizaa shoga UTAMFANYAJE??
 
Hivi jamani tukisema ukristo siyo dini bali ni upagani ulijificha kwenye dini Huwaga m atuelewa kweli?

Ziara ya papa DRC na sudani amekuwa akihamasisha ushoga eti waruhusiwe kuingia makanisani kwa maana nyingi anasema ushoga ruksa.

Mtu kuwa shoga ni umosefu wa màdili ya dhati ki mungu toka utotoni. Waislami Wana maadili ya kumuogopa mungu tangu watoto. Ila wakristo msisitizo ni ushoga tu na upigaji kama kimaro alivyosena.

Karibu uislamu dini ya kweli na mwenyezi mungu huko kwingine mmepotea ndugu zangu. Nyie kalieni mapombe yenu tu
 
Kumuelewa papa lazima uwe na akili kichwani sio kwa ilimu ya madrasa
Hajaruhusu ushoga
Amesena ushoga ni dhambi mbele za Mungu ila kibinadamu inategemea na sheria za nchi husika.
Kwamba shoga achukuliww kama wakosefu wengine wanavyoruhusiwa kuingia kanisani
 
Tulia tulia shekhe sisi wa RC tumemwelewa baba mtakatifu

USSR
 
Kumuelewa papa lazima uwe na akili kichwani sio kwa ilimu ya madrasa
Hajaruhusu ushoga
Amesena ushoga ni dhambi mbele za Mungu ila kibinadamu inategemea na sheria za nchi husika.
Kwamba shoga achukuliww kama wakosefu wengine wanavyoruhusiwa kuingia kanisani
Kwani papa ameongea na watu au ameongea na mungu huko DRC. Anapaswa kuongea vinavyoeleweka hapo ndo waislamu tunapowapigia bao na kuonekana ni dini ya kweli mana tunaongea vinavyoeleweka
 
Kumuelewa papa lazima uwe na akili kichwani sio kwa ilimu ya madrasa
Hajaruhusu ushoga
Amesena ushoga ni dhambi mbele za Mungu ila kibinadamu inategemea na sheria za nchi husika.
Kwamba shoga achukuliww kama wakosefu wengine wanavyoruhusiwa kuingia kanisani
Acha ujinga wewe,kaongea nini pale ambacho kinahitaji akili kubwa!!?..kimsingi kamaanisha kanisa liko poa na uchoko,kwamba sodoma na Gomorrah ilikua mlipuko wa volcano tu si ghadhabu za mungu
 
Back
Top Bottom