Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

Kwani ni uongo. Idiot kabisa. Wauza unga wanajulikana
 
nadhani hii ni alart kwa mama, ajue makonda ana hasara kwa chama chake na uongozi wake kuliko faida. hivyo yeye mwenyewe achague, abaki na makonda apoteze sapoti ya watanzania wengi, au apoteze makonda abaki na watanzania.
Nani kakuambia atapoteza sapoti ya watanzania? Watanzania wengi tunamuelewa Makonda, na tunampa sapoti km ilivyokuwa kwa Magufuli.
 
Umeanzisha thread kuhusu maandamano na hii,

Nadhani unaona ipi imepata wachangiaji wengi,

Ndomana Huwa tunakwambia, unafanya KAZI ya CCM Kwa kujua au kutojua .

Anyway MAGAMBA MATATU naona Bado ameshikilia mkeka wake.
 
Alikuwa hajatenda kosa la kushutuma mawaziri na kuwatishia πŸ˜€.

Sasa wanataka kumuonesha namna ya kuwa na staha. Chama kimeshika hatamu.
 
Chama hiki hakina mwenyewe!

Chama chenye wenyewe ni CDM, NCCR, TLP, Chauma, cha bwana dovutwa nk

Ccm sio chama cha mtu...!
Umeshawahi kusikia wimbo wa CCM wa Captain Komba? ".........wacha waseme CHAMA CHA MAPINDUZI KINA WENYEWE......."
 
Nani kakuambia atapoteza sapoti ya watanzania? Watanzania wengi tunamuelewa Makonda, na tunampa sapoti km ilivyokuwa kwa Magufuli.
Sema Vyawa wengi mnamuelewa, mngebahatisha kumilika japo punje ndogo ya akili msingejipiga vifua.
 
 
Kamati ya Maadili ya CCM ikikuita inabidi usali sana, sio mchezo, utatiwa adabu kweli kweli, Kamati ya Maadili ya CCM ina watu wenye akili sana na lazima uwe na majibu ya uhakika ukiitwa na chai utapewa ukiitwa..!!
Hivi ccm hii tunayoifahamu ina maadili gani inayoyasimamia na kuyalinda!
 
yaani Erythrocyte hii habari umeipenda sana hii habari hujawahi kushadadia habari ya ccm hata siku moja yaani hili ndilo umeona ni kitu kibaya sana kuitokea ccm yaaani hapo umenoa utasubiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…