ndoto ya kimweri
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 413
- 979
Kama bwawa la Nyerere vile ndio maana unachat Kwa raha bila kuhofu umeme kukatika hivi wewe umewahi kujiuliza wasingewasha zile mashine Leo nchi ingekuaje bila umeme? Hebu wakati mwingine punguza uchawaHiyo project ya Train ni White Elephant, Hakuna kitu hapo.
Akosa Rais Samia anayafanya basi ni kumkumbatia sana huyu Makonda!! Hana mwisho mzuri kwa chama na viongozi wenzake huyu hahitajiki kuwa kwenye ngazi yoyote ya maamuzi katika jamii!! Wanaokua karibu na Rais Samia hebu wamshauri kwa hekima amuweke pembeni huyu mtu!! Anavisasai sana moyoni na maamuzi ya ghafla sana, siku akipata madaraka makubwa kama ya Urais hawezi kutuingiza vitani na majirani zetu kurahisi sana. Shime sheme huyu mtu hatufai katika nchi yetu!!Mkuu wa Mkoa wa Arusha , Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi .
Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo , tarehe 22/04/2024
=====
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili.
Makonda anatarajiwa kufika mbele ya Kamati hiyo Jumatatu, Aprili 22, 2024 asubuhi na kukutana na wajumbe wa kamati hiyo.
Hata hivyo, Mwananchi inafahamu kuwa Makonda alitakiwa kufika mbele ya kamati hiyo Aprili 20, 2024 majira ya asubuhi, lakini haikuelezwa sababu za kusogezwa mbele.
Barua ya wito wa CCM kwa Makonda haikueleza sababu za kumuita huku ikieleza kwamba, kuna masuala mbalimbali kati yake na wajumbe wanakwenda kujadili.
Lakini, wito huo huenda unahusishwa na kauli ya Makonda aliyoitoa wakati wa kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha Waziri mkuu wa zamani, Edward Sokoine iliyofanyika Monduli, Arusha ambako Makonda alidai kuwa viongozi wakiwemo mawaziri wamekuwa wakilipa watu kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mitandao ya kijamii.
Makonda alitoa onyo kwa viongozi hao akisema kama wakiendelea atawataja hadharani na kwamba, hayuko tayari kuona Rais Samia akitukanwa.
Chanzo: Mwananchi online
Pia soma:
- Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation!. Mbona Rais Samia Hadhalilishi?. Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!.
- Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi?
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
Kama bwawa la Nyerere vile ndio maana unachat Kwa raha bila kuhofu umeme kukatika hivi wewe umewahi kujiuliza wasingewasha zile mashine Leo nchi ingekuaje bila umeme? Hebu wakati mwingine punguza uchawa
Ni kawaida chama chenye misingi mizuri lazima ukienda vibaya ushikwe sikio!Mkuu wa Mkoa wa Arusha , Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi .
🤣 🤣 🤣Tulipewa mdomo mmoja na masikio mawili sana huyo bwana mdogo naona yeye ana sikio moja ambalo halisikii na ana midomo miwili. Kazi kwelikweli.
Makonda asichokijua ni kwamba Regime ya sasa sio ile..Saiv mtu anakuchekea huku anakuwekea kisu. Utaumia jamaa na wewe bila kukaa Serikalini utaenda wapi mtu imezoea kufokafoka kutishia watu na mkwara.Kumekucha na makucha yake. Watoto wa mjini hawataki mchezo. Makonda akileta za kuleta atapewa ONYO kisha ONYO KALI, litafuatiwa na KARIPIO. Akiendelea atakula umeme.
🤣 🤣 🤣Dah nimekumbuka Kolimba na CCM siyo Mama Yangu. Makonda uwe makini sana tena sana, maji, mike, kiti etc Mungu akulinde.
Ngoja tuone na kusikia sauti itakayotoka.Ina meno?
Makali au butu?
Makali kiasi gani?
Yalimng'ata nanni?
Makonda anasumbua sana vichwa vya mafisadi! Hahaha ngoja tuone!Kwana kabisa nilishangaa siku ile anaingia Arusha na mapokezi makubwa alafu inaandaliwa gari ya Mkuu wa Mkoa, na Bensera ikiwapo inapepea, unaiacha gari na kumpakuza mwanao na yeye kupanda gari nyingine, imekaaje ile ki protoko? Gar ye nye benderabya mwakilishi wa Rais wa mkoa na bendera inapepea anakaa mtoto na muhusika anapanda gari nyingine? Huyu mtu kweli achunguzwe akili!!
Maadili ya utumishi ndio hayo mnayosema kwamba hatakiwi kupiga kelele “wakati wa kula”?Huyu mama naye sijui ni takataka ya wapi, hili jitu halifai hata kuongoza mtaa analing'ang'ania la nini? Halina maadili ya utumishi hata kidogo! Na linaonesha limetoka familia hohehahe sana!
Halafu wewe haya ni maadili ya wapi?Huyu mama naye sijui ni takataka ya wapi, hili jitu halifai hata kuongoza mtaa analing'ang'ania la nini? Halina maadili ya utumishi hata kidogo! Na linaonesha limetoka familia hohehahe sana!