Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

Wenye chama Chao wameona
THIS IS TOO MUCH. hatuwezi kuvumilia, wakati tunaanzisha chama Makonda alikua havai kaptura, leo anaendesha Range kwa pesa zetu anatuletea ujinga. Hata ukuu wa mkoa haumfai.
Na bado tunashangaa kwanini wengi wa watanzania wanaokalia nafasi za uongozi wa nchi hii wako hivyo walivyo na nchi iko hapa ilipo?
 
Punguza mihemko mkuu, hao nimafisadi wanajuwa walichofanya kwenye hiyo miradi ndio maana hata watukanwe na kudhalilishwa vipi hawawezi kutoka nje kwasababu wanajuwa makosayao ni dhahiri.

Mtu mwenye akilizake timamu ambae anaijua. Kaziyake na hana baya hawezi kukubali kudhalilishwa.


Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Kumbe haya yanatokea kweli? Kwa gharama ya jasho (kodi) la watanzania?

Okay.
 
Sehemu mbili katika mwili wa bashite zimeingia makubaliano ya kubadilishana makazi mdomo umeomba ukakae makalioni na yule anaejifichaga makalioni ameomba akawe mbadala wa mdomo
Sasa kwa maneno haya kwanini nae anapopewa mic anamalizia mnapoishia nyie, mnashangaa?
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi.

Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo tarehe 22/04/2024.
Chadomo hata hiyo Kamati hamna mnachojua ni kuropoka matusi tuu
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi.

Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo tarehe 22/04/2024.
Anaefuata ni Luhaga Mpina,huyo anatakiwa kufukuzwa ccm kabla ya 2025
 
Ndani ya Chama letu huwa hatuwataki wenye misimamo Thabiti ya kuitetea Nchi na Wananchi wanyonge !!

Ukiwa na misimamo hiyo unaonekana wewe ni mpinzani !!
Ngoja tuone !
 
Sehemu mbili katika mwili wa bashite zimeingia makubaliano ya kubadilishana makazi mdomo umeomba ukakae makalioni na yule anaejifichaga makalioni ameomba akawe mbadala wa mdomo
Hili tusi noma, namchukia sana Makonda kwa tabia zake za kishamba ila this is too much budy!!

By the way Mkuu una kauhusiano na yule ofisa aliedhalilishwa na DAB??🀣
 
Hakika ni Mwendazake peke yake aliendana na huo ubabe wake

Ndege wanaofanana, huruka pamoja
Mwendazake ndie aliempoteza mazima DAB alipojaribu kugombea ubunge Kigamboni, Mama ndio anajaribu kumsaidia ila sikio la kufa...
 
Ni kama kichwa Cha Uzi huu kinavyojieleza

Kamati za Maadili za CCM na Chadema siyo za Mchezo Mchezo ni sawa na Patakatifu pa patakatifu mtuhumiwa lazima afungwe kamba mguuni

Aidha tuishukuru CCM kwa kuanzisha Kombe jipya la Muungano Ili Makolo FC wasitoke mikono mitupu mwaka huu πŸ˜„πŸ˜„πŸ”₯
 
Makonda pamoja na mapungufu yake yote..bado ni karata turufu sana kwa serikali ya mama Samia..Kikubwa Mungu amlinde ni kiongozi mzuri sana wa kulingoza Taifa letu siku za usoni..Maadui ni wengi ila kikubwa watu wenye uthubutu wa kufanya maamuzi magumu Kama Makonda ni wachache..Tumuombee na kumshauri Ila tusimtukane, tusimsimange, Wala kumkatisha tamaa..Makonda ni kiongozi bora ajae kwa maoni yangu..Mama Samia ninakuomba Makonda ni kiongozi bora usimwache..wanaomsema vibaya ni wanafiki tu na watu wasiomtakia mema.
 
Kombe hilo jipya la muungano halina tofauti na lile la mapinduzi. Tena la mapinduzi naweza kusema lina hadhi zaidi kwa kuwa linashirikisha timu za nje ya JMT.

Sasa siju hili jipya litashirikisha hata timu zipi!? Ninachotambua tutasikia sehemu maarufu zinapotoka, mathalani Mchambawima, Kizimkazi, n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…