Walau POPOMA aambulie hilo la Muungano.Ni kama kichwa Cha Uzi huu kinavyojieleza
Kamati za Maadili za CCM na Chadema siyo za Mchezo Mchezo ni sawa na Patakatifu pa patakatifu mtuhumiwa lazima afungwe kamba mguuni
Aidha tuishukuru CCM kwa kuanzisha Kombe jipya la Muungano Ili Makolo FC wasitoke mikono mitupu mwaka huu πππ₯
Mwacheni Makonda afanye kazi yake
πππWalau POPOMA aambulie hilo la Muungano.
nadhani hii ni alart kwa mama, ajue makonda ana hasara kwa chama chake na uongozi wake kuliko faida. hivyo yeye mwenyewe achague, abaki na makonda apoteze sapoti ya watanzania wengi, au apoteze makonda abaki na watanzania.
Aende huko kwebye kamati awaeleze vizuri waliotaka kumuua kwa drone ni akina nani. Pia aeleze watu aliowapoteza akiwa RC wa Dar aliwatupa wapi ili ndugu zao wawazikeMkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi.
Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo tarehe 22/04/2024.
Dah nimekumbuka Kolimba na CCM siyo Mama Yangu. Makonda uwe makini sana tena sana, maji, mike, kiti etc Mungu akulinde.
Domo la hovyo na kukosa akili vinamponza huyu mburula.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi.
Dere atakuwa yuko kwenye maombi ili jambo lipite salama bila kuleta athari maana Dere kashajipata kwa huyo Bashi.te, safari hazikaukiDereva anakula per diem tu hapo
Zinashiriki timu 4 tu πKombe hilo jipya la muungano halina tofauti na lile la mapinduzi. Tena la mapinduzi naweza kusema lina hadhi zaidi kwa kuwa linashirikisha timu za nje ya JMT.
Sasa siju hili jipya litashirikisha hata timu zipi!? Ninachotambua tutasikia sehemu maarufu zinapotoka, mathalani Mchambawima, Kizimkazi, n.k.
1. ONYOKumekucha na makucha yake. Watoto wa mjini hawataki mchezo. Makonda akileta za kuleta atapewa ONYO kisha ONYO KALI, litafuatiwa na KARIPIO. Akiendelea atakula umeme.
Kamati ya maadili wenyewe ni mafisadi
Hawana credits za kumhoji mzalendo makonda
Kinatochusaidia ni wizi wa kura tu, hakuna kingine kabisa.Mkenge mlioingia utakuja kuwaacha midomo wazi
Jiulize kwann watu wametawanyika wengine musoma, wengine kule (nchimb) wengine kule (jokt) huku (ally) nk
Siasa ni sayansi! Subiri ujue kitakacho kuja tokea
Hapo unapoanza kutunanga sisi tusitoke mikono mitupu ndo umekosea sana.Ni kama kichwa Cha Uzi huu kinavyojieleza
Kamati za Maadili za CCM na Chadema siyo za Mchezo Mchezo ni sawa na Patakatifu pa patakatifu mtuhumiwa lazima afungwe kamba mguuni
Aidha tuishukuru CCM kwa kuanzisha Kombe jipya la Muungano Ili Makolo FC wasitoke mikono mitupu mwaka huu πππ₯
Na wese la kutoshaDereva anakula per diem tu hapo
Hii ni aibu kwa Simba.Zinashiriki timu 4 tu π
Simba, Azam, KMKM na Kikwajuni
Makonda pamoja na mapungufu yake yote..bado ni karata turufu sana kwa serikali ya mama Samia..Kikubwa Mungu amlinde ni kiongozi mzuri sana wa kulingoza Taifa letu siku za usoni..Maadui ni wengi ila kikubwa watu wenye uthubutu wa kufanya maamuzi magumu Kama Makonda ni wachache..Tumuombee na kumshauri Ila tusimtukane, tusimsimange, Wala kumkatisha tamaa..Makonda ni kiongozi bora ajae kwa maoni yangu..Mama Samia ninakuomba Makonda ni kiongozi bora usimwache..wanaomsema vibaya ni wanafiki tu na watu wasiomtakia mema.
Makonda alirudishwa katikati ya uwanja wa kisiasa na mama Samia.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi.
Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo tarehe 22/04/2024.
=====
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili.
Makonda anatarajiwa kufika mbele ya Kamati hiyo Jumatatu, Aprili 22, 2024 asubuhi na kukutana na wajumbe wa kamati hiyo.
Hata hivyo, Mwananchi inafahamu kuwa Makonda alitakiwa kufika mbele ya kamati hiyo Aprili 20, 2024 majira ya asubuhi, lakini haikuelezwa sababu za kusogezwa mbele.
Barua ya wito wa CCM kwa Makonda haikueleza sababu za kumuita huku ikieleza kwamba, kuna masuala mbalimbali kati yake na wajumbe wanakwenda kujadili.
Lakini, wito huo huenda unahusishwa na kauli ya Makonda aliyoitoa wakati wa kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha Waziri mkuu wa zamani, Edward Sokoine iliyofanyika Monduli, Arusha ambako Makonda alidai kuwa viongozi wakiwemo mawaziri wamekuwa wakilipa watu kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mitandao ya kijamii.
Makonda alitoa onyo kwa viongozi hao akisema kama wakiendelea atawataja hadharani na kwamba, hayuko tayari kuona Rais Samia akitukanwa.
Chanzo: Mwananchi online
Pia soma:
- Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation!. Mbona Rais Samia Hadhalilishi?. Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!.
- Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi?
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
Huyu ccm hawatampenda,ana akili.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi.