Ni kwel kabisa changamoto za maisha pia hupelekea tatizo la afya ya akili.Labda huyu aliyeua itakua alikua hana hela njaa inamuuma na pisi imemzingua
Unakuaje na stress za mapenzi hadi ufikirie kuua mtu wakati umekula umeshiba una hela ya akiba ndani😂
Una lengo la kuoa na kufunga ndoa na mtu mpaka kifo kikutenganishe huna budi kufanya utafiti mkuu.Maisha yenyewe tu ni utafiti tosha kuyawini, huo muda na fedha za kutafiti tabia ya Mtu ilihali haiko constant "unpredictable" uko wapi[emoji848][emoji851]
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work
🤣🤣🤣🤣 Mnk nnmkuuHapa ndio utaona umuhimu wa timu Bakari Nondo MWAMNYETO.
Sad jamaniii 😢Pumzika kwa Amani shoga yangu
Shida si kugongewa Ke, ila Wahuni hukunja Ke kama vilema na hucheza hadi matopeni [emoji2961][emoji1732]Kugongewa kuna wapa shida Sana vijana wa sasa hv, mtu anaweza kurukwa na akili, akisikia mwanamke wake kapitiwa,
Huyu ilkuwa lzm auwae tu 🤣Pumzika kwa Amani shoga yangu
Huyu ndio dada aliye uwawa kisa wivu wa mapenzi?🙄🙄🙄🙄🙄Pumzika kwa Amani shoga yangu
Na kipini.Penina
Na mwanamke bila mwanaume ni sawa na nini?Wewe bila Mwanamke ni Sawa na mwili bila kichwa 😁😁😁
Unasomesha demu kwani wewe Bodi ya Mikopo? Hana kwao?Demu umemsomesha, unamuhudumia baba na mama mkwe na ukoo mzima
Halafu akuletee mambo siyo, agongwe na wahuni...! Kifuatacho ITV
Nina rfk angu Ni inspector was police mpeleleziGoba yalikuwa maficho ya majambazi kabla Shujaa Magufuli hajaingilia Kati na kuwajengea barabara za Lami
Kwa nini mkuu?Huyu ilkuwa lzm auwae tu 🤣
😁😁😁Acha maswali yako yenye majibu tayariNa mwanamke bila mwanaume ni sawa na nini?
Ndio sababubpekee bwan CPA Holder au pengine alimkopesha na akawa anamlete dharau au pub ni yake ila demu aanagongewa ndaniUsikute alikula hela zake halafu akaanza kiburi. Wanawake watch out