min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ni kwel kabisa changamoto za maisha pia hupelekea tatizo la afya ya akili.Labda huyu aliyeua itakua alikua hana hela njaa inamuuma na pisi imemzingua
Unakuaje na stress za mapenzi hadi ufikirie kuua mtu wakati umekula umeshiba una hela ya akiba ndani😂
Ila pia kuna wengine hawana shida za kiamaisha ila wanaishi na matatizo haya.
Kuna kitu kinaitwa personality disorders, borderline personality disorder ( BPD) , Ambapo mtu anakosa uthibiti wa hisia za ghadhabu na kupelea kuua au kujiua .