Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Labda huyu aliyeua itakua alikua hana hela njaa inamuuma na pisi imemzingua
Unakuaje na stress za mapenzi hadi ufikirie kuua mtu wakati umekula umeshiba una hela ya akiba ndani😂
Ni kwel kabisa changamoto za maisha pia hupelekea tatizo la afya ya akili.

Ila pia kuna wengine hawana shida za kiamaisha ila wanaishi na matatizo haya.

Kuna kitu kinaitwa personality disorders, borderline personality disorder ( BPD) , Ambapo mtu anakosa uthibiti wa hisia za ghadhabu na kupelea kuua au kujiua .
 
Pumzika kwa Amani shoga yangu
 

Attachments

  • IMG-20240523-WA0015.jpg
    IMG-20240523-WA0015.jpg
    103 KB · Views: 2
  • IMG-20240523-WA0013.jpg
    IMG-20240523-WA0013.jpg
    69.8 KB · Views: 4
Back
Top Bottom