Aliyemkata panga ndie huyo waliyepigana

Ila wanaume mnajitafutiaga matatizo. Mtu umemkuta anauza baa unataka kuleta ubabe wa kumkataza asiendelee na biashara uliyomkuta nayo
Tatizo wanawake warembo wenye makalio makubwa wana mambo ya ajabu, sasa wakikutana na mwanaume asiye na akili ndo wanauwawa.

"Baby, uza ile nyumba ya mama yako nipe mtaji niachane na biashara ya baa ina vishawishi."

Mtu anauza, mama anapangiwa chumba kimoja halafu anafumaniwa na mwanaume bar, akiulizwa mbona hutoki huko baa na mtaji nimekupa anaanza majibu ya kipumbavu. Unategemea nini zaidi ya kichwa kutenganishwa na makalio?
 
Kutokana na wingi wa matukio ya namna hii ambayo yamekuwa yakijirudia rudia mara kwa mara, taratibu dhana ya kuona kwamba kuna kila sababu za kuanzisha ndoa za Mikataba ili kupunguza au kutokomeza kabisa matukio ya namma hii.
 
Aliyemkata panga ndie huyo waliyepigana

Ila wanaume mnajitafutiaga matatizo. Mtu umemkuta anauza baa unataka kuleta ubabe wa kumkataza asiendelee na biashara uliyomkuta nayo
Aah wapi! Kwa mfano,tumekubaliana aache biashara ya kuuza ulabu,nikampa kibunda kizito kama mtaji afanye biashara nyingine..ghafla akaanza visa mixer mapichapicha yasiyoeleweka hapo unategemea nini?
 
Goba ni Wilaya ya Ubungo....
Kinondoni hakuna matukio ya ovyo hivyo.
 
Goba centre pamekuwa pamoto🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…