Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda mwanachi_official ( online ) utaiona Mkuu. Kumbe Marehemu ana Umbile wa yale yale Mapigo yangu Tukuka.Picha, bila picha unamaliza wino ya JF bure
Nikimaliza kuipigia Punyeto.mkuu picha unaweka lini?
Acha Uzinzi Wewe.RIP… ilaaa kina Penina wanajaziaga, sijawahi kuona Penina mwembamba
Na Urembo wake Mtamu.Apumzike kwa amani
Kila mtu afanye wajibu wake. Mwanamke ukishajijua una mshepu halafu mweupe usimpagawishe mtu kisha kumwaminisha wewe ni wake tu na kula pesa zake. Watu wengine akili hawana watawaua muishe.Mtu akiwa mpenzi wako ni mpenz tu na sio unamiliki hadi roho yake wanaume badiliken mtaishia gerezan
Tatizo wanawake warembo wenye makalio makubwa wana mambo ya ajabu, sasa wakikutana na mwanaume asiye na akili ndo wanauwawa.Aliyemkata panga ndie huyo waliyepigana
Ila wanaume mnajitafutiaga matatizo. Mtu umemkuta anauza baa unataka kuleta ubabe wa kumkataza asiendelee na biashara uliyomkuta nayo
Kutokana na wingi wa matukio ya namna hii ambayo yamekuwa yakijirudia rudia mara kwa mara, taratibu dhana ya kuona kwamba kuna kila sababu za kuanzisha ndoa za Mikataba ili kupunguza au kutokomeza kabisa matukio ya namma hii.Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Penina Methody (27) ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa ni panga, chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi.
Tukio hilo linalodaiwa kufanywa na mtu anayedaiwa ni mpenzi wake limetokea jana Alhamisi, Mei 23, 2024 Goba Centre, Wilaya ya Kinondoni anapofanyia biashara zake Penina.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema leo Ijumaa Mei 24 2024 kuwa watatoa taarifa kamili kuhusu tukio hilo.
Akisimulia tukio hilo mmoja wa bodaboda aliyekuwa akimbeba Penina amesema siku nne kabla ya kuuawa, Penina na mwanamume mmoja walipigana kwa kurushiana chupa.
Chanzo: mwananchi_official
Nilikuwa sijaona Picha yako ila kwa kuiona kupitia Mwananchi sasa naanza Kuelewa kwanini Msukuma Kakudedisha.
Aah wapi! Kwa mfano,tumekubaliana aache biashara ya kuuza ulabu,nikampa kibunda kizito kama mtaji afanye biashara nyingine..ghafla akaanza visa mixer mapichapicha yasiyoeleweka hapo unategemea nini?Aliyemkata panga ndie huyo waliyepigana
Ila wanaume mnajitafutiaga matatizo. Mtu umemkuta anauza baa unataka kuleta ubabe wa kumkataza asiendelee na biashara uliyomkuta nayo
Goba ni Wilaya ya Ubungo....Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Penina Methody (27) ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa ni panga, chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi.
Tukio hilo linalodaiwa kufanywa na mtu anayedaiwa ni mpenzi wake limetokea jana Alhamisi, Mei 23, 2024 Goba Centre, Wilaya ya Kinondoni anapofanyia biashara zake Penina.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema leo Ijumaa Mei 24 2024 kuwa watatoa taarifa kamili kuhusu tukio hilo.
Akisimulia tukio hilo mmoja wa bodaboda aliyekuwa akimbeba Penina amesema siku nne kabla ya kuuawa, Penina na mwanamume mmoja walipigana kwa kurushiana chupa.
Chanzo: mwananchi_official
Nilikuwa sijaona Picha yako ila kwa kuiona kupitia Mwananchi sasa naanza Kuelewa kwanini Msukuma Kakudedisha.
Goba centre pamekuwa pamoto🔥Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Penina Methody (27) ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa ni panga, chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi.
Tukio hilo linalodaiwa kufanywa na mtu anayedaiwa ni mpenzi wake limetokea jana Alhamisi, Mei 23, 2024 Goba Centre, Wilaya ya Kinondoni anapofanyia biashara zake Penina.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema leo Ijumaa Mei 24 2024 kuwa watatoa taarifa kamili kuhusu tukio hilo.
Akisimulia tukio hilo mmoja wa bodaboda aliyekuwa akimbeba Penina amesema siku nne kabla ya kuuawa, Penina na mwanamume mmoja walipigana kwa kurushiana chupa.
Chanzo: mwananchi_official
Nilikuwa sijaona Picha yako ila kwa kuiona kupitia Mwananchi sasa naanza Kuelewa kwanini Msukuma Kakudedisha.
RIP… ilaaa kina Penina wanajaziaga, sijawahi kuona Penina mwembamba