Mish Albert
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 657
- 581
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
Binafsi sitaki kusikia kuhusu mahusiano napambba nawanangu.Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!