Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Hayo yote na hata zaidi unaweza kukabiliana nayo kwa njia sahihi kabisa ukiwa na afya njema ya akili.
Wala watu hawana shida ya akili.Vitu vingine ni hali yakimaumbile tu.vitu kama wivu,hasira kali ni hali ambayo viumbe wote wanavyo.Tunatofautiana kati ya mtu na mtu katika kuvumilia kwasababu ya uwingi wa vichocheo mwilini.kuvumilia halihusiani na uimara wa akili bali vichocheo vya mwili.Kila binadamu ana udhaifu mahali fulani.Kama udhaifu wako haujakutana na changamoto ni rahisi kuona waliopata changamoto zikawapelekea kufanya maamuzi mabaya ni vichaa.
 
Huo ni ushamba na ulimbukeni tu kuuwa mwanamke kwa ajili ya wivu wa mapenzi. Mjanja na aliekutana na punani za kutosha hana muda na mwanamke aliechukuliwa na mtu mwingine hata kama keshamhonga pesa nyingi. Tatizo vijana wa bongo hawasafiri wakipata vipesa kidogo ulevi na wanawake ndio wanaishia kufanya hivi.
HALUA HAINA MAKOMBO!!!!
 
Moto ninaopelekeaga siyo wakitoto. Halafu navyomkontrol kama mtoto mdogo vile. Angekuwa millionaire hata mimi ningekuwa. Kuna siku nilimuomba threesome na rafiki yake alikasirika sana eti akawa ananiignore na mimi nikampotezea. Akapataga kajamaa flani kutoka Sri lanka alikuja kuchuma berries summer job akawa kwa maksudi ananitambia kunifanya niwe na wivu mara kuweka picha kwenye WhatsApp profile yani dramas nyingi. Nigger nikala kimya tu ila kawivu flani kwa mbali ila sikuumia sana . Miezi ikapita nashtukia kwenye WhatsApp hi nikatabasamu tu. Mara anapiga simu sipokei. Siku moja narudi ghetto nakuta mifuko mitatu imejaa shopping ya nguvu mlangon bado nikala kimya.

😂 kwamba wewe umefuzu from mishangazi mpaka wabibi? !
 
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.

Nitaleta update zaidi.

Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
Naendelea kusisitiza kama Wewe ni Mwanamke na unajua kuwa huwa unamuonjesha Mpenzi wako / Mumeo 0713 yako basi hakikisha kabisa kuwa HUMSALITI kwa Mwanaume mwingine kwani Mwanaume hapendi KUSALITIWA na akijua UNAMSALITI akli yake upesi sana hujua kuwa kama Yeye huwa unampa hiyo 0713 basi hata huyo Msela wa Nje nae umempa hivyo hujawa na HASIRA mbaya na KALI mno juu yako. Dada zangu lizingatieni sana hili nililoliandika hapa kwani litawasaidieni kuliko mnavyodhani.
 
Dah watu wanateseka sana na mapenzi ndio mana mm nimeamua kutokuchukulia serious mambo ya mapenzi
Ku sum up means ""LOVE YOURSELF"'

Kitu kinacho Uma Ni uwekezaji vs Dharau
Unajinyima unajibana unajitoa unabeba MTU kichwani 24/7/365
Mapenziiiiiii yanauma
mtu mpaka anasahau Kuna vyombo vya dola anaji chukulia Sheria mkononi..
 
Back
Top Bottom