Mish Albert
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 657
- 581
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
Binafsi sitaki kusikia kuhusu mahusiano napambba nawanangu.Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
Sasa unafikiri aliyeua ni mwenyeji hapo?Waulize wenyeji hapo 😂
Huo ni upumbavu kabisaUnamjengea mwanamke nyumba ya mil 30 hujamuoa si ushamba huo.
Mtoto wa nyoka ni nyoka 🐼Sasa unafikiri aliyeua ni mwenyeji hapo?
Kudadadeki Mkuu nimeipenda sana hii Post yako ya Kibabe na yenye Ukweli mtupu. Uko kama Mimi siweki Kibanda.Ndiyo tatizo la kujua papuchi ukubwani, unaing'ang'ania utafikiri umeiumba wewe wakati umeikuta imeshachakatwa na watu kibao. Puliza kisha tambaa zako,unaweka kambi kabisa na kuwekeza kwa mtu usiye na nasaba naye. Ameua na kinachofuata anaenda kuozea jela.
Dada zenu baadhi waache kupenda kutoa 0713 kwa ama Wapenzi au Waume zao. Narudia waache kutoa hizo 0713 zao.Hivi mwanaume unaanzaje kumtia mapanga mwanamke na wakati wanawake wapo bwerereeee...
Huyo ni fala tu k kazijulia ukubwani ngoja wahuni wakamlawiti huko store. Ukimegewa unaachana nae sasa bwege kawekeza kabisa hajui kuwekeza kwa malaya ni sawa na kujenga kwe Road reserves. M'mae zake.Mtoto wa nyoka ni nyoka 🐼
Utapigwa TU mwenzio akinyolewaDemu umemsomesha, unamuhudumia baba na mama mkwe na ukoo mzima
Halafu akuletee mambo siyo, agongwe na wahuni...! Kifuatacho ITV
Chanzo Pesa na masumbuko ya DuniaHivi mwanaume unaanzaje kumtia mapanga mwanamke na wakati wanawake wapo bwerereeee...
Daah, niliwahi kumgongea Mzee mmoja Mke wake aisee (alikuwa na kabinti kadogo), Huyu mzee alikuwaga hatokitoki ndani kwa matatizo ya miguu na pressure but that time alipata nguvu za kuzunguka mji mzima akinitafuta! Angenipata sijui ingekuwa Je!!🤔Kugongewa kuna wapa shida Sana vijana wa sasa hv, mtu anaweza kurukwa na akili, akisikia mwanamke wake kapitiwa,
Mwingine anakuwa amerukwa na akili huyu mtu ni WA kuchunguzwa wenda hazipo sawa akili zakeKwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah
It depends na UWEKEZAJI uliofanyika... Unapowekeza HISIA na PESA zote sehemu moja haya ni kawaida....Hivi mwanaume unaanzaje kumtia mapanga mwanamke na wakati wanawake wapo bwerereeee...
Sana mkuu,hawa washamba wakionjeshwa ndogo wanachachawa kinoma sasa akifiria kuwa kuna mwingine analishwa kisamvu anarukwa na akili kabisa anajua hiyo anawekewa yeye tu kumbe kakuta kipira kimeshaachia kitambo.Dada zenu baadhi waache kupenda kutoa 0713 kwa ama Wapenzi au Waume zao. Narudia waache kutoa hizo 0713 zao.
Asante kwa updates Mkuu.Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah
"AFYA NJEMA" YA AKILI ni ule uwezo wa uvumilivu wa MATUKIO ila kila MJA ni MGONJWA WA AKILI tunatofautiana CENTIGRADE ZA KUTOKOTA KWA UFAHAMU...Hayo yote na hata zaidi unaweza kukabiliana nayo kwa njia sahihi kabisa ukiwa na afya njema ya akili.
Muhuni mwenyewe unakuta mlamba lips tu mtoto wa mama flani hivi. Unaeza pagawa 😂Demu umemsomesha, unamuhudumia baba na mama mkwe na ukoo mzima
Halafu akuletee mambo siyo, agongwe na wahuni...! Kifuatacho ITV