MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,345
- 3,570
Nenda Siku ya Kuaga utaiona Mubashara ikiwa katika Nyumba na Godoro lake la mwisho atakaloondoka nalo Ardhini.Hauna picha yake?!
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah
Kweli wapo ila ndio ivyo tenaKwanini! Wanawake wapo kibao
Ukiwa umefulia unafanyaje?Ningekuwa jirani nawe nakuhakikishia Mkuu ningekupa Hela kama Zawadi kwani umesema vyema na ndivyo nafanya.
Napenda sana Wanaume Wajanja, Werevu halafu Watoto wa Mjini kama Wewe hivi na siyo Washamba Washamba. Umeandika ukweli kabisa hapa Mkuu. Heko.Yaan watu wengine wanajitafutia matatizo tu sasa demu anauza glocery we nae unamwita demu wako wakati yule ni malaya...hv mteja kalipa bill lak 3 ataacha kumpongeza mteja wake?...yaan mbususu ipo sokoni we unataka iwe yako peke yako inawezekanaje?
Suala wanawake sio kua makini tu. Wanaume pia punguzeni ngenga. Yani nyie mki cheat ni sawa ila mwanamke asiongee na mtu ushamshikia panga. Huwa mna shida ganiKwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah
Pole sana kwa familiaKwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah
R.i.P Classmate....😥Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
UPDATES:
Ngosha baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama 2minutes walking....
Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa... cc nifah
Penzi kitovu cha uzembeHauna hata picha yake mkuu?
Utavuna ulichopanda ni msemo maarufu wa kiswahili.
Sasa mpaka nimesema angekuwa karibu yangu ningempa Zawadi ya Hela hapo si tayari nimemaamisha kuwa ipo?Ukiwa umefulia unafanyaje?
Kwa Washamba kama huyo Pimbi. Watu tunabandua 24/7 na Mademu zetu nao Kubanduliwa ila wala hatuwatoi Roho.Penzi kitovu cha uzembe
Muwe makini na akili zenu mgando na sio kua makini na wanawake.Masela tuwe makini na hawa wanawake, tutaozea jela kmmk, narudia tutaozea jela. Hawa viumbe this round ni kama hawana cha kupoteza hapa duniani.
Huwa nakupenda kwa kuwa muwaziDemu umemsomesha, unamuhudumia baba na mama mkwe na ukoo mzima
Halafu akuletee mambo siyo, agongwe na wahuni...! Kifuatacho ITV
Mimi ninachojua kama Mimi Mwanaume nabandua basi hata na Demu wangu nae pia anabanduliwa vile vile hivyo sioni haja ya Kushangaa hadi kutaka Kumuua. Kwanza Mimi GENTAMYCINE nilivyo Mbanduaji Tukuka nikisikia Demu wangu anabanduliwa na Msela mwingine nitabaki Kucheka tu na kumuona Mjanja na tunaenda sawa. Watoto wa Mjini wala huwa hatuhamaki ila hii Mishamba inayokuja Dar es Salaam na Malori ya Kokoto za Nangwanda ndiyo ina huu Upuuzi.Wanaume wengine ni mabwege kweli wacha akanyee ndoo huko, unajimilikisha mwanamke?? wanaume hebu tuache huu ufala wa kuhudumia mwanamke badae akikusaliti eti unamuua kisa umemhudumia sana stupid!!
Ukiona mwanaume anasomesha mpenzi wake hiyo ni dalili ya matatizo ya akiliDemu umemsomesha, unamuhudumia baba na mama mkwe na ukoo mzima
Halafu akuletee mambo siyo, agongwe na wahuni...! Kifuatacho ITV
Nakubaliana nawe 100% Mkuu.Ukiona mwanaume anasomesha mpenzi wake hiyo ni dalili ya matatizo ya akili