Hakika
 
Bila shaka mwanaume aliwekeza sana kwa bibie na hatimaye kuwa na wivu sana na Penina wake.

Hata hivyo, njia aliyoitumia siyo sahihi kwa sababu hajamdhuru tu Penina bali kajiumiza yeye mwenyewe!
Hakuna lolote huyo Jamaa ( Pimbi ) ni Mshamba tu. Hakuna Demu wa peke yako hasa kwa hii dunia ya sasa mtake msitake.
 
Wanawake hawana chochote cha thamani zaidi ya MAKU,ndiyo maana akili yao siku zote ni kuhakikisha anaitumia MAKU yake vizuri ili kuleta Migogoro kwenye jamii!

Walipoumbwa walinyimwa kila kitu ila wakapewa MAKU!

Ni jukumu la Vijana kulitambua hili!
 
Sisi wazee wa kununua tunawa zoom tu hao jamaa wanaojifanya wataalamu wa mapenzi na kuhudumia wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…